Kwa hili rais Magufuli umeteleza, onyesha ukomavu na uwajibikaji

Status
Not open for further replies.

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
174
Dear JF Members na Watanzania Wenzangu,

Ndio nadhani mnajua sio siri tena, sijui kama ndio ile mdogo hakosei lakini kwa hapa hapana, itoshe tufahamu kuwa mfalme Juha ameteleza. Ndio kwani uongo? Ni kweli katika nchi ile hakuna mwingine anayejua kitu zaidi ya mfalme Juha.

Si unaona tena jamani, Mfamle juha akikohoa hata huko shycom mabomu yanarindimaaa-eti intelejensia inaonyesha.....hahahaha. Remote ya mfalme JUHA toka mgogoloni inafanya kazi.Wewe unadhani nani wa kushindana na mwendokasi ya demokrasia ya ujuhani? Ni kweli ulikuwa huamini lakini sasa umejua maana ya juha kabla hajavikwa joho la ufalme kupiga pushapu hadharani kwani ulikuwa hujui maana yake? Si ni ishara ya ubabe kama sio undava? Unataka kubishaa au? Sawa najua utabisha lakini sio lazima sangoma aje akauaminishe kwa sababu najua tu umelewa mahaba niue ya papa mukulu lakini ki-uhalisia hata yule chekechea anajua kuwa juha ameshikwa pabaya, ndio ameshikwa kwani UONGO? Angalia Jesikaaa toto ya mukulu alivyo jiniaziiii, wewe unadhani alisoma kayumba? Ole wako akusikeee ndio sawa unajua alipata 4 kama sio pointi 30, sawa lakini huyo kwa ujuhani ni KIPANGA, ndio hukulijua hilo au? si ndio maana vilaza wa kule danganyika wametumbuliwa lakini KIPANGA na 4 yake ya 30 ndani ya V8 na skonga anapeta kama kawa...shauri yako, mimi usinitaje !

Ahaaa sawa naona umekumbuka vema...yes....si unaona hata kiranja wa darasa lako la shule ya msingi alikuwa anatumia demokrasia kukuongoza na wewe ulimpenda, sasa si unaona maajabu ya papaa magogoloni hataki kuambiwa achilia mbali kusikia wewe uduvi akimuongelea negative.Weeee funga bakuli lako usije ropoka eti Jesikaaa kilaza utakomaje...!

Lakini pamoja na yote dadiii kwani wewe si ndio dokitaaa wa kubobea katika sayanziii, kwani ulibebwaa? unaona sasa papaaa wewe ni geniuuziii sasa kuonyesha ummaa wa wadanganyika kwamba wewe ni the man, MAN OF THE SHOW onyesha mfano kama ulivyomuwajibisha wa kambi ile ya ulevini alipokuwa kilazaaa uka-mtwanga akatwangika hadi kapotea mjengoni, tunakuamini baba Rais wewe unawezaa..!

Sasa ni zamu yakoo papaaaa, achia ngazi Jesikaaa kakulogaaa.....kumbe na wewe umooooo duh!! Rais jiuzuluuu tu kuficha aibu na uweze kulinda heshima yako na pia kuonyesha ukomavu wa kisiasa na naamini dunia muzimaaa itakupongeza kwa kitendoo cha kishujaaa.

Hongera baba Rais kweli usilolijua sawa na usiku wa gizaaa, mfalme Juhaaaa, hahahhaha pole but huu mchezo hautaki hasiraaa. Omba maji unyweee kishaaa kaaa pembenii wapishe wanaojua kuongoza kule mgologoloni na danganyika yote ndio wapo zaidi yakooo wanaweza.

@ Kwa leo naishia hapo mfalme JUHA, najua utakwama muda sio mrefu, ndio kwani hulijui hilooo!! Mbona ndani ya kambi ya Lumumba wameshaona unawavurugaa na huna haiba ya kile walichokitegemea.....ahaaaaa unadhani haiwezekani!!! Jiulize kwanini hupewi kijiti haraka ili ukalie kiti cha kambi ya kijani? Haya najua huwezi kuamini maneno yangu, ndio wewe si jiniaziii kwani kuna mtu anayejua zaidi yako?

Treni yako ya ujuhani ikifika salama mgologoloni hadi tarehe kama ya leo 08.06.2017 bila kupata ajali kama sio anguko la karne ambalo THE LUMUMBAZI itabariki uje unishike uchawi ndio uje tu unishike uchawi. Siogopi kutumbuliwa lakini ni bora mfalme nikutapikie kabisaa na ujue kuwa kuropoka ropoka sio kuzuri, ndio kuropoka ni kuongea maneno bila staha.Najua kwa kule ujuhani kusema hivyo ni matusi lakini demokrasia ya mwendo kasi itakushinda kama mbwai na iwe mbawiiii tu!

ATTENTION TO LUMUMBAZI.....!

Watu wa Lumumba au wavaa nguo za kijani ambao muda wote mnampongeza mfalme hata pale anapotoa upepo.

Kama mnakumbuka hata Mwalimu ndio namaanisha JK mtakatifu mtarajiwa alikuwa msikivu na kuona mbali, sasa iweje Mfalme Juha ujione wewe ndio wewe? Ni kweli unadhani hakuna anayejua zaidi yako? Lakini mfamle wewe si umesoma shule na ukabobea. Je, ulikuwa unajua kuandika kabla mwalimu wako hajakufundisha kuumba herufii? au ulikuwa unaijua Chemistry hata kabla mwalimu hajakufundisha? La hasha!! lazima likushuke ndio naona sasa unanielewa vema ahaaa.Ni kweli nataka ujirekebisheee kwa sababu unaowaongoza ni watu na watu wenyewe ni ndio mimi, dada yako, mjomba wako, shangazi yako n.k TUNAKEREKA NA TABIA YAKO YA KUTOAMBILIKA NA KUJIONA WEWE NDIO MJUAJI WA KILA KITU!

Nikuulize MUHESHIMIWA MFALME JUHA, unadhani watendaji walio chini yako wanavyokupamba ndio wanafurahia na jinsi unavyofanya? Au unaona wanavyokuletea taarifa za kukupamba ndio wapo upande wako? HAPANA wanafanya hivyo kulinda MKATE WAO, ndio kwani hujui?

Nani unadhani anataka familia yake ife njaaa eti kisa amkosoe mfalme JUHA? NO HAIWEZEKANI......! Si hata wewe ulivumilia kwa MKWERE leo ndio unapata fursa ya kumkosoa hadharani kwa sababu sasa joho la ufamle umeshalivaaa?

NB: Mimi usinifikirie vibaya eti nakosoa utawala wako la hashaaa hapana. LENGO LANGU NI KUKUAMSHA NA KUKUFAHAMISHA KUWA unaowaongoza ni binadamu kama wewe, wana MOYO WA NYAMA, wana uzoefu kupita wewe, ndio kwani uongo? Tatizo lako hupendi kuambiwa ukweli, unajifanya wewe ndio wewe. NO PLEASE BADILIKA NDUGU YANGU, hata huyo mshauri wako wa karibu ameshasoma falsafa yako na kukujua wewe kuwa ni MR. MISIFA. So akisema kitu au kukushauri kitu bila kukusifia basi siku kwako bado haijatimia. Je, apoteze mkatae wakeee? Kwani akikupamba kadiri ya wewe unavyotaka yeye anapungukiwa na nini?

Ahaaaa!! naona sasa unanielewa ndio wewe si ni jiniaziiii utaachaje kunielewa bana.? Wala usinichukie bali unishukuru kwa maana nakuambia mambo mazito mfalme, ndio kwani hujui!! hakuna wa kufunguka kwa upendo na kukukosoa hivi wengi wanakusifia tu hata ukienda ku-piiiii wao wanasema mfalme POLE.Ndio, WEWE SI NDIO MFALME JUHA? Kwani kuna mwingine much know kuliko wewe?

Najua kauli hii kwako ni tusi kubwa sana, si ajabu mimi sasa nitapewa miaka 9 badala ya mitatu aliyopewa mwenzangu kuleee geneva ya Afrika au nitaambiwa nilipe milioni 21, ahaaaaa wapiiiii!! sawa nitafia jela lakini ndugu mfamleee mimi nimejitolea kukuambia ukweli tena nina mengi tu ya kukuambia ila nahisi haupo tayari kuona yupo zaidi yako kwa kuwa wewe hilo joho la ujuhaaa unaoana HAKUNAGA ndio mwavejaaaaaaa saaaanaaa.

Usihangaike kivileeee, mimi bado nipo nipo kitaaa. Siku nikija magologoloni usininyime chai au gahawaaa, hahahahahah

@ johnsonpeter8094@yahoo.co.uk
 
Ukishakuwa mwana CCM haijalishi umesoma au hukusoma, wewe ni kipofu na kwako CCM ni kama zimwi kubwa unalodhani unalijua kumbe umegusa tu sehemu ya umbo lake. Na wahanga kweli kweli wa upofu huu ni vijana wa leo ambao wamezaliwa katika familia iliyolelewa na hilo zimwi...karibuni;

sixblindmen-jpg.354572
 
Habari za jioni na usiku!

Kwa nini naendelea na nitaendelea kumkubali Rais John Pombe Magufuli??

Hapa naachana na ukada na kujikita kwenye kweli na weledi.

HEBU JIULIZE AU FUATILIA YOTE YALIYOSEMWA NA MAGUFULI KAMA AHADI AU ILANI YA CHAMA CHAKE KAMA KUNA AMBALO HAJAAANZA KULIFANYIA KAZI...?

Mimi nitayataja yale ambayo yalinivutia sana kiasi cha kuamua kumkubali,kumsupport ,kumpigania na kumpigia kura.

Moja:

Kuhusu kupambana na mafisadi ...na hapa aliapa kupambana nao kwa hali zote...

Aliahidi mahakama maalumu ya mafisadi.

Tumemsikia na tumeona dhamira yake ya kupambana nao mafisadi kiasi cha kuhisi anataka kuingilia uhuru wa mahakama pale alipowaahidi wanasheria kuwa atawapatia fungu la fidia za kesi zitokanazo na kuwafunga mafisadi.

Kupitia waziri wa sheria mchakato wa kuundwa mahakama ya mafisadi uko mahala pazuri na ifikapo mwezi wa saba tunatarajia mahakama hiiitakuwa tayari imeanza kazi.

Wana JF tuseme nini juu ya hili hasa ukizingatia kuwa forum hii ni kinara wa kupambana na mafisadi?

Kuhusu swala la elimu...Magufuli aliahidi kushughulikia suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.Alihoji iweje kupata mkopo iwe ni shida wakati wanaokopeshwa watalipa?Tumeshuhudia wanafunzi wa elimu ya juu wakipatiwa mikopo yao on time huku bodi ya mikopo na utendaji wake ukipitiwa upya.

Kuhusu afya Magufuli alikerwa na issue ya ukosekanaji wa dawa na vifaa tiba pamoja na huduma mbovu katika hospitali za umma...

Tumejionea nginjanginja kwenye sekta hii ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa huduma kwenye zahanati kuu ya taifa...CT SCAN inafanya kazi.

Ingawa hapa bado kuna changamoto inayofanyiwa kazi ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwenye zahanati zote nchini...dhamira yake imeonekana na pia kupitia waziri wa afya kile Magufuli alichoahidi kuhusu bima ya afya ya jamii kuwa ya wote yaani universal covarage ya health insuarance ni sera inayokuja mwezi wa tisa.

Magufuli alilaani sana kuhusu mabwanyenye wachache kujilimbikizia ardhi kiasi cha kupelekea migogoro ya ardhi nchini...mabwanyenye hawa walitajwa na mifano ipo.tuliijadili sana wakati wa kampeni..kina lowasa na Sumaye walitajwa na leo hii tunaona baadhi yao kuanza kutemeshwa ardhi walizojimilikisha isivyo halali kutokana na vyeo vyao.

Kuhusu uchumi wa Viwanda tumejoonea msisitizo wa Rais katika kila hotuba zake kuhusu ujenzi wa viwanda ...Tumeisikia mikakati na ya uwekezaji wa serikali sekta hii kwa kuandaa mazingira bora ya uwekezaji...hata mkuu wa TIC alitemwa kwa kukosa kasi ya utekelezaji huu.

Kuhusu kujitegemea kiuchumi

Hapa tumejionea harakati za Magufuli kuyabana matumizi yasiyo na tija na pia utekelezeja wa kuhakikisha kodi ya serikali inakusanywa.

Kuhusu kodi za ajabu ajabu kwenye mazao ...tumeshuhudia baadhi ya kodi kwenye korosho na kahawa kuanza kufutwa.

Kuhusu kuulinda Muungano...tumeshuhudia jinsi Rais alivyoweza kulihandle suala la Zanzibar bila damu kumwagika.

Kuhusu kupunguza msongamano Dar nadhani sasa tunashuhudia wakazi wa Dar wakitumia chini ya dakika 45 kufika na kutoka katikati ya jiji.

Kwa ufupi na kwa maoni yangu haya ni baadhi ya mambo ambayo Magufuli ameyafanya ndani ya muda mfupi tena bila ya kutumia bajeti iliyoandaliwa na serikali yake.
 
Attachments

  • Amelda Minja 20160607_223751.jpg
    Amelda Minja 20160607_223751.jpg
    13 KB · Views: 49

Ongezea kuhusu kuminya uhuru wa vyombo vya habari, bunge, mahakama, lugha isiyo na staha kwa wananchi, kukosa hekima na busara,chuki ,roho mbaya, kulipa visasi, maamuzi ya chuki na kukurupuka, ubabe wa kipuuzi, masifa yasiyokuwa na mipango . n.k
 
Bila kusahau mfalme huyu zake sifa na kutukuzwa,kukosolewa kwa mwiko unakuwa umejiingiza kwenye kundi la mafisadi.
 
Habari za jioni na usiku!

Kwa nini naendelea na nitaendelea kumkubali Rais John Pombe Magufuli??

Hapa naachana na ukada na kujikita kwenye kweli na weledi.

HEBU JIULIZE AU FUATILIA YOTE YALIYOSEMWA NA MAGUFULI KAMA AHADI AU ILANI YA CHAMA CHAKE KAMA KUNA AMBALO HAJAAANZA KULIFANYIA KAZI...?

Mimi nitayataja yale ambayo yalinivutia sana kiasi cha kuamua kumkubali,kumsupport ,kumpigania na kumpigia kura.

Moja:

Kuhusu kupambana na mafisadi ...na hapa aliapa kupambana nao kwa hali zote...

Aliahidi mahakama maalumu ya mafisadi.

Tumemsikia na tumeona dhamira yake ya kupambana nao mafisadi kiasi cha kuhisi anataka kuingilia uhuru wa mahakama pale alipowaahidi wanasheria kuwa atawapatia fungu la fidia za kesi zitokanazo na kuwafunga mafisadi.

Kupitia waziri wa sheria mchakato wa kuundwa mahakama ya mafisadi uko mahala pazuri na ifikapo mwezi wa saba tunatarajia mahakama hiiitakuwa tayari imeanza kazi.

Wana JF tuseme nini juu ya hili hasa ukizingatia kuwa forum hii ni kinara wa kupambana na mafisadi?

Kuhusu swala la elimu...Magufuli aliahidi kushughulikia suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.Alihoji iweje kupata mkopo iwe ni shida wakati wanaokopeshwa watalipa?Tumeshuhudia wanafunzi wa elimu ya juu wakipatiwa mikopo yao on time huku bodi ya mikopo na utendaji wake ukipitiwa upya.

Kuhusu afya Magufuli alikerwa na issue ya ukosekanaji wa dawa na vifaa tiba pamoja na huduma mbovu katika hospitali za umma...

Tumejionea nginjanginja kwenye sekta hii ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa huduma kwenye zahanati kuu ya taifa...CT SCAN inafanya kazi.

Ingawa hapa bado kuna changamoto inayofanyiwa kazi ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwenye zahanati zote nchini...dhamira yake imeonekana na pia kupitia waziri wa afya kile Magufuli alichoahidi kuhusu bima ya afya ya jamii kuwa ya wote yaani universal covarage ya health insuarance ni sera inayokuja mwezi wa tisa.

Magufuli alilaani sana kuhusu mabwanyenye wachache kujilimbikizia ardhi kiasi cha kupelekea migogoro ya ardhi nchini...mabwanyenye hawa walitajwa na mifano ipo.tuliijadili sana wakati wa kampeni..kina lowasa na Sumaye walitajwa na leo hii tunaona baadhi yao kuanza kutemeshwa ardhi walizojimilikisha isivyo halali kutokana na vyeo vyao.

Kuhusu uchumi wa Viwanda tumejoonea msisitizo wa Rais katika kila hotuba zake kuhusu ujenzi wa viwanda ...Tumeisikia mikakati na ya uwekezaji wa serikali sekta hii kwa kuandaa mazingira bora ya uwekezaji...hata mkuu wa TIC alitemwa kwa kukosa kasi ya utekelezaji huu.

Kuhusu kujitegemea kiuchumi

Hapa tumejionea harakati za Magufuli kuyabana matumizi yasiyo na tija na pia utekelezeja wa kuhakikisha kodi ya serikali inakusanywa.

Kuhusu kodi za ajabu ajabu kwenye mazao ...tumeshuhudia baadhi ya kodi kwenye korosho na kahawa kuanza kufutwa.

Kuhusu kuulinda Muungano...tumeshuhudia jinsi Rais alivyoweza kulihandle suala la Zanzibar bila damu kumwagika.

Kuhusu kupunguza msongamano Dar nadhani sasa tunashuhudia wakazi wa Dar wakitumia chini ya dakika 45 kufika na kutoka katikati ya jiji.

Kwa ufupi na kwa maoni yangu haya ni baadhi ya mambo ambayo Magufuli ameyafanya ndani ya muda mfupi tena bila ya kutumia bajeti iliyoandaliwa na serikali yake.
1465357431525.jpg
 
Yaani mi sijaielewa kabisa hii tume, halafu hapohapo wanalalamika hawana ofisi.wanatumia mamilioni ya shilingi kulipa pango la ofisi. Si wangetumi hizo fedha kujenga ofisi,
Kuepuka kulipa kodi ya pango
 
Dear JF Members na Watanzania Wenzangu,

Ndio.....nadhani mnajua sio siri tena....sijui kama ndio ile mdogo hakosei lakini kwa hapa hapana, itoshe tufahamu kuwa mfalme Juha ameteleza. Ndio kwani uongo? Ni kweli katika nchi ile hakuna mwingine anayejua kitu zaidi ya mfalme.

Si unaona tena jamani, Mfamle juha akikohoa hata huko shycome mabumu ynarindimaaa, wewe unadhani nani wa kushindana na mwendoksi ya demokrasia ya ujuhani....ni kweli ulikuwa huamini lakini sasa umejua maana ya juha na kupushapu...si ni ishara ya ubabe kama sio undava? Unataka kubishaa au? Sawa najua utabisha lakini sio lazima sangoma aje akauaminishe kwa sababu najua tu umelewa mahaba niue ya papa mukulu lakini ki-uhalisia hata yule chekechea anajua kuwa juha ameshikwa pabaya.

Ahaaa sawa naona umekumbuka vema...yes....si unaona...hata kiranja wa darasa lako la sule ya msingi alikuwa anatumia demokrasia kukuongoza...na wewe ulimpenda...sasa si unaona maajabu ya papaa magogoloni hataki kuambiwa achilia mbali kusia uduvi akimuongelea negative...weeee funga bakuli usije ropoka eti jesika kilaza utakomaje...!

Lakini pamoja na yote dadiii kwani wewe si ndio dokitaaa wa kubobea kataika sayanziii...kwani ulibebwaa? unaona sasa papaaa....wewe ni geniuuziii sasa kuonyesha ummaa wa wadanganyika kwamba wewe ni the man....MAN OF THE SHOW....onyesha mfano kama ulivyomuwajibisha wa kambi ile ya ulevini alipokuwa kilazaaa uka-mtwangalia mbaliii

Sasa ni zamu yakoo papaaaa, achia ngazi..jesikaaa kakulogaaa.....kumbe na wewe umooooo...duh....Baba jesikaaa jiuzuluniiii tu kuficha aibu na pia kuonyesha ukomavu wa kisiasa na naamini dunia muzimaaa itakupongeza kwa kitendoo cha kishujaaa.

Hongera baba jesikaaa kweli usilolijua sana mfalme Juhaaaa......hahahhaha pole but omba maji unyweee kishaaa kaaa pembenii wapishe wanaojua kuongoza kule mgologoloni na danganyika yotee
KAPUTULA LA MARX
 
Yes yes, we shall see ooooo, nasubiriaga hiyo tereni kama itaangukaga niwahi sikirepa.
 
Tuliosoma chini ya mwembe tunafahamu madhara ya kuuza kila kitu kwa bei ya ratili moja ambayo ilitolewa na mfalme juha!
 
Habari za jioni na usiku!

Kwa nini naendelea na nitaendelea kumkubali Rais John Pombe Magufuli??

Hapa naachana na ukada na kujikita kwenye kweli na weledi.

HEBU JIULIZE AU FUATILIA YOTE YALIYOSEMWA NA MAGUFULI KAMA AHADI AU ILANI YA CHAMA CHAKE KAMA KUNA AMBALO HAJAAANZA KULIFANYIA KAZI...?

Mimi nitayataja yale ambayo yalinivutia sana kiasi cha kuamua kumkubali,kumsupport ,kumpigania na kumpigia kura.

Moja:

Kuhusu kupambana na mafisadi ...na hapa aliapa kupambana nao kwa hali zote...

Aliahidi mahakama maalumu ya mafisadi.

Tumemsikia na tumeona dhamira yake ya kupambana nao mafisadi kiasi cha kuhisi anataka kuingilia uhuru wa mahakama pale alipowaahidi wanasheria kuwa atawapatia fungu la fidia za kesi zitokanazo na kuwafunga mafisadi.

Kupitia waziri wa sheria mchakato wa kuundwa mahakama ya mafisadi uko mahala pazuri na ifikapo mwezi wa saba tunatarajia mahakama hiiitakuwa tayari imeanza kazi.

Wana JF tuseme nini juu ya hili hasa ukizingatia kuwa forum hii ni kinara wa kupambana na mafisadi?

Kuhusu swala la elimu...Magufuli aliahidi kushughulikia suala la mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.Alihoji iweje kupata mkopo iwe ni shida wakati wanaokopeshwa watalipa?Tumeshuhudia wanafunzi wa elimu ya juu wakipatiwa mikopo yao on time huku bodi ya mikopo na utendaji wake ukipitiwa upya.

Kuhusu afya Magufuli alikerwa na issue ya ukosekanaji wa dawa na vifaa tiba pamoja na huduma mbovu katika hospitali za umma...

Tumejionea nginjanginja kwenye sekta hii ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa huduma kwenye zahanati kuu ya taifa...CT SCAN inafanya kazi.

Ingawa hapa bado kuna changamoto inayofanyiwa kazi ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwenye zahanati zote nchini...dhamira yake imeonekana na pia kupitia waziri wa afya kile Magufuli alichoahidi kuhusu bima ya afya ya jamii kuwa ya wote yaani universal covarage ya health insuarance ni sera inayokuja mwezi wa tisa.

Magufuli alilaani sana kuhusu mabwanyenye wachache kujilimbikizia ardhi kiasi cha kupelekea migogoro ya ardhi nchini...mabwanyenye hawa walitajwa na mifano ipo.tuliijadili sana wakati wa kampeni..kina lowasa na Sumaye walitajwa na leo hii tunaona baadhi yao kuanza kutemeshwa ardhi walizojimilikisha isivyo halali kutokana na vyeo vyao.

Kuhusu uchumi wa Viwanda tumejoonea msisitizo wa Rais katika kila hotuba zake kuhusu ujenzi wa viwanda ...Tumeisikia mikakati na ya uwekezaji wa serikali sekta hii kwa kuandaa mazingira bora ya uwekezaji...hata mkuu wa TIC alitemwa kwa kukosa kasi ya utekelezaji huu.

Kuhusu kujitegemea kiuchumi

Hapa tumejionea harakati za Magufuli kuyabana matumizi yasiyo na tija na pia utekelezeja wa kuhakikisha kodi ya serikali inakusanywa.

Kuhusu kodi za ajabu ajabu kwenye mazao ...tumeshuhudia baadhi ya kodi kwenye korosho na kahawa kuanza kufutwa.

Kuhusu kuulinda Muungano...tumeshuhudia jinsi Rais alivyoweza kulihandle suala la Zanzibar bila damu kumwagika.

Kuhusu kupunguza msongamano Dar nadhani sasa tunashuhudia wakazi wa Dar wakitumia chini ya dakika 45 kufika na kutoka katikati ya jiji.

Kwa ufupi na kwa maoni yangu haya ni baadhi ya mambo ambayo Magufuli ameyafanya ndani ya muda mfupi tena bila ya kutumia bajeti iliyoandaliwa na serikali yake.
Ni good move ambayo hata watangulizi wake walifanya. Ama kuhusu usafiri ni Serikali ya Awamu ya nne
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom