Kwa hili rais JK umeonyesha udhaifu mkubwa wa kiongozi

Siku hizi kila mtu anaanzisha Thread, hivi maazimio ya CC ya CCM mlitaka yatangazwe na Balozi Sefue au Salva??? Kile kilikuwa kikao cha CC ya CCM kujadili pendekezo la Rais kuhusiana na pendekezo la wabunge wa CCM, leteni kipengele cha sheria kilichokiukwa isije kuwa Wananchi Vilaza wanamlaumu Rais kilaza. Kuna mambo mengi sana ya kumlaumu jk kwa uzembe wake hakuna haja ya kutafuta vitu visivyo na ushahidi wa kitaalam kumlaum ili apate pa kuchomekea. Anaweza kuwa kafanya kosa kimtazamo wenu but kisheria,kikanuni hakukosea! Hata angeamua kuomba ushauri kwa wazee wa jiji la Dar es salaam pia si kosa!
 
asante sana mtoa mada maana hata mimi nilikuwa nikijiuliza Nape amepata lini cheo walau hata kuwa msemaji wa ikulu? Yani mambo ya serikali yanaongelewa na katibu wa itikadi na uenezi wa Chama kwa kujiamini bila hata Aibu. Kweli magamba vilaza hata kumshaur raisi mambo hayo yasiongelewe na Nape walishindwa? Na Nape kwa kutaka sifa akathubutu kuwaita waandishi kama nani serikalini?? Aibu yao magamba.
 
Back
Top Bottom