Kwa hili nimemkumbuka mh Samwel Sita.

Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
3,975
2,000
Akiwa spika wa bunge la jamhuri wakati wa bonanza la CECAFA aliwezesha mechi ziendelee kuoneshwa TBC1 badala ya TBC2. Wakati ule mambo ya digitali yalikuwa hayajaanza lakini sasa ni mikoa mingi tu bado wanapata matangazo ya TBC kwa analojia sasa kilichofanyika hivi karibuni kwa TBC kuamua kuonesha mechi za CECAFA kupitia TBC2 hakikuwa sahihi ndio maana nimemkumbuka mheshimiwa Samwel Sita kwa kuingilia jambo hili wakati akiwa spika na si vinginevo.
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom