Kwa hili nimeelewa sasa ni wapi mh Nape ulikosea!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Kumbeee!

Mkuu wa mkoa ni mteule wa Rais km ulivyokuwa wewe.Na hatua yako ya kumuundia Tume mteule mwenziyo lilikuwa kosa kubwa!

Nimeeleweshwa na kuelewa kwamba pamoja na makosa yaliyo kuwa bayana ya RC yule wewe hukupaswa kuchukua hatua zile.Maana ni sawa na kwamba ulikuwa umeiundia Tume ya kuichunguza mamlaka yako!

Pole brother!Rudi tu uombe radhi!
 
Ndugu hii nchi ina mambo mengi sana endelea kujifunza utayajua na ya ziada
 
Kumbeee!

Mkuu wa mkoa ni mteule wa Rais km ulivyokuwa wewe.Na hatua yako ya kumuundia Tume mteule mwenziyo lilikuwa kosa kubwa!

Nimeeleweshwa na kuelewa kwamba pamoja na makosa yaliyo kuwa bayana ya RC yule wewe hukupaswa kuchukua hatua zile.Maana ni sawa na kwamba ulikuwa umeiundia Tume ya kuichunguza mamlaka yako!

Pole brother!Rudi tu uombe radhi!
Hili liko wazi kabisa na wanaojua mambo ya management wanajua jamaa alitumbuliwa kihalali lkn kwa wanasiasa wanaona alionewa.Waziri hana Power wala Authority kumuundia tume RC wakati wote ni wateule wa mtu mmoja.
 
Atleast ameonesha ubavu wa kutaka kumchallenge aliemteua sio kila siku unakua uanendeshwa endeshwa tu na kubebwa bebwa
 
Watu hao mim huwa siwachukulii seriously, hasa jiwe so huwa hawanisumbui kichwa
 
Hili liko wazi kabisa na wanaojua mambo ya management wanajua jamaa alitumbuliwa kihalali lkn kwa wanasiasa wanaona alionewa.Waziri hana Power wala Authority kumuundia tume RC wakati wote ni wateule wa mtu mmoja.
Mbona mawaziri wanawasimamisha kazi wakurugenzi ?
Na kuna siku waziri mmoja alitoa agizo fulani kwa wakuu wa mikoa akasema "msipotekeleza mtakua mmeshindwa kazi"
 
Kiccm kiccm uko sawa, maana ukiwa ccm aka ugambani hukosei, ndio maana watu wakasema, hivyo vyeo vifutwe.

Ila kwa upande mwingine Nape was right kwa sababu yeye hajamwajibisha mkuu wa mkoa, Kuna tukio limetokea lazima pande zote mbili sizikilizwe halafu boss wake achukue maamuzi, tuache kutafuta justification kwa ujinga ulifanyika, sema Nape alitaka wa a some alama za nyama time kuwa upinzani ndio wanatakiwa washughulikiwe na gambas wenyewe kwa wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom