ZE DONE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 212
- 320
Jamani si jingine Ila ni hill la kuchangia ujenzi WA shule za sekondari nipo wilayani kilombero nalishuhudia kwa macho yangu pasipo ambiwa na Lissu.
Jamani wananchi wanateswa wanalazimishwa kuchangia sh. 3000 kwa mwananchi nasema wanalazimishwa kwa sababu sioni uhiari WA mwananchi wanakimbizwa NA mgambo wananyangwa vitu vyao au walipe sh15000 alfu kumi kama faini ya kuwalipa Hawa mgambo.
Mimi mwenyewe nimekamatwa nimebishana nao zaidi ya saa nzima nawaonyesha kitambulisho lakini wapi nawmbia mm mgeni huku wapi jamani wananchi wanateswa wananyanyaswa tunarudi kwenye kodi ya kichwa! Serikali imeshindwa kukusanya kodi? Watu wanaishi polini mtoni kuwakimbia mgambo ebu tupeni majibu?
Nilikua nimshangaa Lissu akilalamika bungeni Ila ninayo yashuhudia huku ni mateso ya hali ya juu kwa wananchi!!!!!