Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Hali ya umeme nchini ilikuwa imekuwa kero kila weekend umeme ulikuwa unakatika kibaya zaidi hata siku za mapumziko walikuwa wakikata, kibaya zaidi licha ya TANESCO kudai kuwa huduma ni nzuri lakini mtaani hali ni tete,
watu wanafatilia mkopo hadi wanakata tamaa, kitu ambacho ni kumuangusha mh rais, mfano kuna kujiji kipo vikindu hapa kuna kijiji hadi wameamua kuweka tangazo kama bango juu kama linavosomeka hapa chini.
MYTAKE: Kama watu hawa wananchi waliokaribu na Dar yaani Mkuranga karibu na barabara wanakosa umeme hadi wanabandika mabango vipi huko mkoani.