Kwa hili ni Faida kwa CCM,Makonda na Ndugai wawaweka Wapinzani Wao Njia Panda

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Moderator mbona mnaunganisha nyuzi zenye maudhui tofauti? Ni kama kuna mtu anaunganisha kwa chuki au bila kusoma.

Juzi juzi hapa baada ya Makonda kumsema Pierre kuwa ni mtu wa Hovyo hovyo alitetewa sana na watanzania wengi hasa wapinzani wa Makonda. Mnajua kiukweli HATA SAA MBOVU MARA MBILI HUSEMA UKWELI KATIKA MASAA 24 YA SIKU. Mimi nlimuunga mkono Makonda ingawa katika mambo yake asilimia 90 huwa nampinga. Sana sana alikosea tu kutaja jina lakini mengine alikuwa sahihi.

Kama huamini nenda huko mitaani usikie mtoto anasema akikua anataka awe mlevi maarufu kama Pierre. Huyu ndugu alitetewa sana kwa hali na mali.

LEO YUPO BUNGENI...NA ANASEMA NDUGAI ATABAKI KUWA JUU...JUU MAWINGUNI. sasa hapo tusemeje?tumpongeze Pierre na Ndugai kwa pamoja au tunyamaze?maana sasa hatuwezi mponda Pierre wakati juzi juzi tumetoka kumtetea sana na kumpamba.

Lakini tunashindwa kumuunga mkono sababu yeye Pierre anaamini Ndugai yupo safi na atabaki kuwa Juu.

MASKINI TANZANIA NA SIASA ZAKE ZA MILIPUKO....SASA HATUJUI.TUMTEEE PIERRE KUMWAIBISHA MAKONDA. AU TUMPONDE PIERRE KUMWAIBISHA NDUGAI NA KUKUBALIANA NA MAKONDA
 
Baada ya kufikiria sana na kuumiza kichwa, hatimae hii ndio hoja uliyokuja nayo!



- KANA -
 
Kuna umuhimu wa kukaa chini kama kamati tunywe bia huku tukijadili ni kwa nini bia inapanda bei
 
Back
Top Bottom