Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
Nmeshangaa sana kuona kuna wapinzani wanahamasisha wananchi wakajiandikishe ili waje kupiga kura. Nmewaza ina maana sasa wana uhakika wa ushindi?
Je ile kauli ya mh rais kuwa hawezi mvumilia mkurugenzi asiye na shukrani ambaye analipwa mshahara na yeye na gari anapewa halafu anakuja mtangaza mpinzani imefutwa?
Mimi naona uchaguzi huu ni wa kupoteza pesa ambazo zingefanya mambo ya msingi. Kwanini zipotezwe kizembe?uchaguzi halisi utakuwa ndani ya CCM kupitisha mgombea.
Atakayepita CCM ndiye atakayekuwa mshindi kama ni uenyekiti,udiwani,ubunge au urais. Hili lipo wazi halihitaji hata miwani kuliona.
Tunajiandikisha. Tutapiga kura. Nanyi mkubali matokeo.msilete tena habari za kuwa mmeibiwa kura kama vile ni kilio cha mara ya kwanza.maana mna dhani wote hatuna akili.