Kwa hili ndg Kikwete anakosea!

TumbaFC

Member
Nov 10, 2010
5
0
When the presidents makes a statement it goes down with a huge impact 2 society.. Je ni kwel Tanzania kuna udini? Na kama upo,je ni kwa kiwango rais anachokishkia bango? Mbona yeye 2? Why? Je hal halis ya mahal ulipo na jamii inayokuzunguka maamuz yanafanyka kwa kuzngatia udini?
Mi kwa hili naona Mr. Jakaya kachemka,he is raising an issue out of nothng na anavokishkia bango inanijengea taswira mbaya kwa 2napoelekea..
Tanzania haina ubaguz wa kidini,na kwa sehem kubwa haifany maamuz based on religion! Mz mkubwa anapokomalia ishu km hii naona ni upotofu kwa jamii na kinapaswa kupigiwa kelele kwa nguvu zote! Haiwezekani m2 m1 kuanzisha matabaka,haiwezekani 2mwache aendelee kueneza hii sumu..
kwa sehem kubwa ya watanzania wasioamini ktk udini,je rais haoni km anaamsha hisia za kdin katka jamii? Hatzami madhara yatakayojitokeza if kila decision inayofanywa na serikali itatazamwa ktk sura ya udini? Rais Kikwete aache longolongo,hiv cvyo nchi inavoendeshwa na pengine rais anajarbu kujenga hoja hii potofu kwa maslah bnafsi na chama chake!
Maon yangu hil lapaswa kutizamwa kwa jicho la 3,na kukemewa kwa nguvu zote lisiendelee!
I stand 2b corected!!
 
Alikosa kipya cha kusema, anaona aseme hilo tena na tena maana ndilo analoliamini na ku=practice. Hatudanganyiki n'go; this is a new Tanganyika inayochanika kidemokrasia
 
When the presidents makes a statement it goes down with a huge impact 2 society.. Je ni kwel Tanzania kuna udini? Na kama upo,je ni kwa kiwango rais anachokishkia bango? Mbona yeye 2? Why? Je hal halis ya mahal ulipo na jamii inayokuzunguka maamuz yanafanyka kwa kuzngatia udini?
Mi kwa hili naona Mr. Jakaya kachemka,he is raising an issue out of nothng na anavokishkia bango inanijengea taswira mbaya kwa 2napoelekea..
Tanzania haina ubaguz wa kidini,na kwa sehem kubwa haifany maamuz based on religion! Mz mkubwa anapokomalia ishu km hii naona ni upotofu kwa jamii na kinapaswa kupigiwa kelele kwa nguvu zote! Haiwezekani m2 m1 kuanzisha matabaka,haiwezekani 2mwache aendelee kueneza hii sumu..
kwa sehem kubwa ya watanzania wasioamini ktk udini,je rais haoni km anaamsha hisia za kdin katka jamii? Hatzami madhara yatakayojitokeza if kila decision inayofanywa na serikali itatazamwa ktk sura ya udini? Rais Kikwete aache longolongo,hiv cvyo nchi inavoendeshwa na pengine rais anajarbu kujenga hoja hii potofu kwa maslah bnafsi na chama chake!
Maon yangu hil lapaswa kutizamwa kwa jicho la 3,na kukemewa kwa nguvu zote lisiendelee!
I stand 2b corected!!

Huyo kapagawa alipoona CHADEMA wanatoka nje ya ukumbi wa bunge hakuamini akaanza kuchanganya madesa. Na huo udini anao yeye. Tz hakuna kitu km hicho. Anapotosha umma, anamwaga hofu miongoni mwa wa tz, tumkemee mapema asituletee mambo ya hovyo.:nono:
 
JK kaongea pumba tupu kuhusu udini! Anahubiri udini yeye mwenyewe, ndiyo maana hata wabunge aliowateua jana wote watatu ni waislamu. Vile vile anapenda undugu. Kitendo cha kumteua mama mkwe ( Zakia) inaonyesha dhahiri yeye ndiye anayeeneza anayoyapiga vita kwa mdomo lakini anayafanya kivitendo.
 
Ni kweli kabisa bwana huyu anatamka mdomoni lakini moyoni ana lake:yield::nono::nono::nono::nono:
 
Hamjamwelewa Mkwere!
Washauri wake wamemjaza ujinga huu aje abwate kwetu Watanzania tusiopenda wala kusikia mdudu anaeitwa UDINI.
U know what, Mafisadi they are SpinMasters therefore they are trying to trigger hot issues so that we might forsake the prevailing issues that we had realized after the General election. What i advise you is to stand and pullup together hili vuguvugu la mabadiliko ya katiba ya URT na tuendelee kupinga uwepo wa Tume Feki ya Uchaguzi na uchakachuzi wa matokeo.
Viva Chadema!
 
Hizi ishu za udini yeye mwenyewe anafanya kukemea kumbe ndo anaanzisha mijadala ya kidini. Mbona sijawahi kusikia mbowe, cheyo, mrema na wengine wakiongelea haya mambo? Ni yeye tu!
 
Hili nalo neno kwanini ni yeye tu anayesikika akitaja jambo hilo mbona mitaani tunakoishi hatuoni hilo labda atueleze udini uko kwa viongozi wa juu lakini si huku chini, huku bado tunaishi kwa kuheshimiana. Inabidi tuanze kupiga kelele kwa yule anaye hubiri udini.
 
Hata mm simuelewi jk.Hana hoja ya msingi ya kuongea mbele ya bunge ndo maana anatapatapa. Hana jipya zaidi ya kuzamisha jahazi.Tujitahidi kuielimisha jamii kuhusu mabadiliko ya kisiasa na umuhimu wa mapinduzi ya kisiasa
 
Jamani alikuwa anatilia mkazo tu msimfikirie vibaya na hata hivyo yeye sio malaika kwamba hakosei!! But in some areas religionism is still exist
 
Kama mshauri wake mkuu na mlinzi wa nguvu za kishetani ni shehe Yahaya Mnategemea nini zaidi ya huo upupu?
 
Haileti picha nzuri ana exaggerate vitu ambavyo bila kujua vinaleta athari kubwa ktk jamii yetu ambavyo vitazua moral panic baina yetu na kuleta hizo athari! p'se Mr JK fanyia au fanyieni tathmini speech zenu kabla hamjayatoa kwa jamii! Najua wanataka kulaghai wananchi as if they care a lot kwa WaTZ lakini ni ZERO! hamjui mnahatarisha maisha ya jamii!:fencing::fencing::fencing::fencing:
 
Habari yenyewe ni hii. Kuna mikoa ambayo Kikwete anaiona ina wakristo wengi zaidi ya waislam na hii mikoa haikumpa kura nyingi (yaani alishindwa na Dr. Slaa). Kwake hio ndio udini. Tatizo hawezi kuitaja kwa sababu alishachakachua kura huko nyingi sana mpaka akapata majority ya kura za hio mikoa (yaani akawa ameshinda Dr. Slaa kwenye hio mikoa). Akiisema au akiitaja ataulizwa mbona umeongoza katika hio mikoa. Alichobaki ni kulalama tu kuna udini bila kutoa ushahidi wowote
 
Kwa nini udini ujitokeze ktk Uongozi wake kama kweli udini upo. Kafanya nini kuzuia udini
 
Hamjamwelewa Mkwere!
Washauri wake wamemjaza ujinga huu aje abwate kwetu Watanzania tusiopenda wala kusikia mdudu anaeitwa UDINI.
U know what, Mafisadi they are SpinMasters therefore they are trying to trigger hot issues so that we might forsake the prevailing issues that we had realized after the General election. What i advise you is to stand and pullup together hili vuguvugu la mabadiliko ya katiba ya URT na tuendelee kupinga uwepo wa Tume Feki ya Uchaguzi na uchakachuzi wa matokeo.
Viva Chadema!
Well argued. JK pamoja na chama chake cha mafisadi wanataka kuhamisha hoja ya uchakachuaji vichwani mwa watu. Kama ni udini, JK ndio mdini na ni yeye mwenyewe aliyeianzisha hiyo hoja wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom