Wazee wa PGONimezikuta mahali. Nimependezwa nazo. Hakika wamefanya kitu kizuri kabisa kuwafunza watoto wetu matumizi sahihi ya barabara.View attachment 2008230View attachment 2008231
Hawa ni traffic kuna wale waakina Hamza ,achaaaaKwa mara ya kwanza tangu niingie JF 2018 ndipo nimeona Polisi wakipongezwa na Mtu.
Ikiwa si chuki binafsi toka kwa raia basi kuna mahali Polisi hawako sawa kimahusiano na Raia wema.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sawa ni jukumu lao basi wametimiza vyema lazma wapongezwe kwa kazi nzuri,,, Hongereni sana askari wetuAcheni kutoa pongezi pale mtu anapotimiza majukumu yake ya kawaida kabisa...
Hovyoo
Nimezikuta mahali. Nimependezwa nazo. Hakika wamefanya kitu kizuri kabisa kuwafunza watoto wetu matumizi sahihi ya barabara.View attachment 2008230View attachment 2008231
Sawa afande.Sawa ni jukumu lao basi wametimiza vyema lazma wapongezwe kwa kazi nzuri,,, Hongereni sana askari wetu
Wametegesha na camera kabisaIlitosha kuzuia magari watoto wavuke..
Hizo nyingine ni sifa za kijinga.