Kwa hili Mange unirudishie tu hela yangu ya lunch..damn!

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
5,847
14,507
8e221da184d02b0ff3d87c7a1015ca27.jpg
habari za mchana wadau

Ni moja kati ya wale wanao follow na ku likes umbea na breaking za bi dada machachari mwenye bifu na serikali ya awamu ya tano huko Instagram

Kwa hali ngumu ya maisha ilivyo leo nimeamka vibaya sina senti ya breakfast nikaona ngoja nisubiri subiri mida hii ifike nipige ndefu,dakika kumi zilizopita nikaagiza wali samaki hapa ile naletewa mezani ilinibidi nitoe simu nichungulie mpya mitandaoni

Kama kawaida nikaanza na Ista post ya kwanza kwenye kuikuta ndo hiyo hapo juu kutoka kwa dada mkubwa aisee nimeshindwa hata kula na hela nshalipa......dada mkubwa unirudishie tu hela yangu sio kwa hasara hii uliyonitia leo..
 
Back
Top Bottom