muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 875
- 545
Makamba alijuwa wazi uwezi shiriki ufisadi na ukaweza utetea. ndio maana alipiga marufuku ccm kushiriki midahalo. wenyewe tumejionea jinsi CUF/ccm b walivyojikanyaga kwenye mdahalo.ukishirikiana na fisadi nawe ni fisadi tu