Kwa hili Magufuli umeingizwa mkenge

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,090
Haina shida Hata wakulima NI watu, kosa ningekuwa nimemtukana, pia siwezi mtusi ninamheshimu sana ninamkubali sema ukoloni mamboleo unamyumbisha, ukitaka kunitumbua NAMBA zangu NI 0768074472 MPE anitumbue nikalime. Kabla ya kuajiriwa nilikuwa mvuvi nitaenda kuvua Ziragula ziwa vilktoria halijakauka.
 
Haina shida Hata wakulima NI watu, kosa ningekuwa nimemtukana, pia siwezi mtusi ninamheshimu sana ninamkubali sema ukoloni mamboleo unamyumbisha, ukitaka kunitumbua NAMBA zangu NI 0768074472 MPE anitumbue nikalime. Kabla ya kuajiriwa nilikuwa mvuvi nitaenda kuvua Ziragula ziwa vilktoria halijakauka.
haaaaaaaaaaaaaaaa! umejireta vizur, jamani yani umesaula kabsa nimekwambia jinade ukawe mkulima, sasa unataka uvuvi, nakumbuka aliwai kukuchomea nyavu yako kipindi kire, ulinunua nyingine? wewe Magu anakukumbuka sana.
 
Haina shida time will tell, wataweka vikwazo zaidi ya hivyo ndio maana Namshauri Rais wangu aende wajisikie kuwa amewashujudia ila KWA maslahi ya TAIFA, aende NA Barozi Maiga ana exposure kubwa ya International affairs.
 
sio mbaya wanao mwambie yuko sahihi KWA hili wanampotosha familia ili iitwe familia lazima iwe na kiongozi USA na mama UK hivyo hawa wana uwezo wa kuamua nani Leo ale nani asile anaepika usimdharau asilani.
 
Bahati mbaya washauri wanamuogopa mheshimiwa,matokeo yake uwoga umetawala miongoni mwa watendaji sasa hata ubunifu unapotea.!!
Agenda inayofuata ni kufuatilia miradi ya maendeleo,kwani muda sio rafiki naona miaka mitano huwa inaisha haraka!!!
Nategemea mwaka wa fedha huanza mwezi Julai nguvu zielekezwe kwenye kutekeleza miradi ili tusonge mbele.
Viongozi wengi sasa kwa kuogopa wamekosa ubunifu wa kuhamasisha maendeleo,wanatafuta sababu za makosa na kasoro za kiutendaji na kuviziana ili waonekane kwenye vyombo vya habari!!
Tanzania tunaweza kujisimamia mipango yetu na tukafanya miradi inayoonekana,yaani mwisho wa siku maendeleo yataonekana.
 
Pia nisamehe kama nitakuwa nimekukera kukuambia ukweli wangu, usinitumbue jipu ualimu.

Wewe usijipandishe chati kwa vitu usivyovijua; Ndalichako alipata kile cheo sio kwa ushauri wako bali kwa weledi wake, mambo ya ushwahiba yalikwenda na Kikwete!! Wewe kwanza inaelekea hujui jinsi serikali ya Marekani inavyofanya kazi na ndio maana eti unashauri RAIS wetu aende akaombe msamaha U.S.A. wa kitu gani? Nchi yetu ni tajiri na ndio maana wao wafadhili wanatulilia tuwe karibu nao; tatizo letu ni moja tu na hilo Magufuli akilipatia ufumbuzi basi tumetoka; ajitahidi kuhakikisha maliasili yetu inatumika kwa manufaa yetu na ndio maana namshauri mara tu atakapokuwa mwenyekiti wa ccm lazima afumue mikataba ambayo ilipitishwa upesi upesi na mafisadi huku ikiiangamiza nchi yetu, bila hivyo mambo yatatuwia magumu sana. The priority is to harness our resources both physical and natural and utilise them efficiently.
 
Nchi hii ukiwa huna taarifa Googgle sahau kusikilizwa, Magufuli mimi ni mtumishi wa umma ukiona inafaa nitumbue leo nakushauri ukila na kipofu rais wangu usimshike mkono, Kikwete alijua kuwa kwenye familia ya mtu ukitaka uishi vema kuwa na mahusiano mema na mke au mama wa ile familia, ukipigana nae imekula kwako. Sasa rais wangu familia ni MCC na mke ni USA hivyo akisema Magufuli (Tanzania) leo asile mzee wangu huta kula asilani.

Ushauri wangu usitukane mamba huku hujavuka maji, utaliwa mapema tu. Hata South Africa wakiwafukuza wazungu leo itakuwa masikini ndani ya miaka michache baadae

Wewe jifanye mjinga uende USA uombe msamaha, uombe wakupe msaada wao wa trillion za Tz 1, utatue matatizo yako ya nchi yako kisha yakija masharti yachambue au yapeleke bungeni yajadiliwe kisha wapigiwe kura ili upate cha kujitetea

Mimi mtumishi wa umma elimu yangu ndogo sana shahada moja tu, ukiona yafaa ichukue, ukiona haifai fuata ushauri wa maprofesa na ma Dr.
Mimi ndie nilie anzisha uzi wa kumrejesha Dr Joyce Ndalichako umpe ama uwaziri au ukatibu mkuu elimu.

Pia ndie niliesema hapa unapendwa zaidi na watumishi wasio wa serikali, wengi wa serikali wanakuchukia sana nikiwemo mimi kwani maisha yangu yamekuwa magumu tangu umeingia Magogoni.

Pia nisamehe kama nitakuwa nimekukera kukuambia ukweli wangu, usinitumbue jipu ualimu.
maelezo mengi na povu kumbe unatetea just ths tr1. Acha kuwa na mawazo tegemezi. Hufai kabisa
 
Wewe usijipandishe chati kwa vitu usivyovijua; Ndalichako alipata kile cheo sio kwa ushauri wako bali kwa weledi wake, mambo ya ushwahiba yalikwenda na Kikwete!! Wewe kwanza inaelekea hujui jinsi serikali ya Marekani inavyofanya kazi na ndio maana eti unashauri RAIS wetu aende akaombe msamaha U.S.A. wa kitu gani? Nchi yetu ni tajiri na ndio maana wao wafadhili wanatulilia tuwe karibu nao; tatizo letu ni moja tu na hilo Magufuli akilipatia ufumbuzi basi tumetoka; ajitahidi kuhakikisha maliasili yetu inatumuka kwa manufaa yetu na ndio maana namshauri mara tu atakapokuwa mwenyekiti wa ccm lazima afumue mikataba ambayo ilipitishwa upesi upesi na mafisadi huku ikiiangamiza nchi yetu, bila hivyo mambo yatatuwia magumu sana. The priority is to harness our resources both physical and natural and utilise them efficiently.
Si lazima mpaka awe mwenyekiti wa CCM ndio agundue maovu,
Aanze na wale wenye Simba account na waliochota pesa kwenye sandarusi.
 
Ukiona Mtu anamchukia magufuri basi ujue alikuwa mmoja wa wapigani sasa milango ya upigaji imefungwa...

OVER!!
 
Si lazima mpaka awe mwenyekiti wa CCM ndio agundue maovu,
Aanze na wale wenye Simba account na waliochota pesa kwenye sandarusi

Mambo yatakuwa rahisi kwake kutekeleza baada ya power consolidation; hivi sasa mkweree anamuwekea kiwingu anashindwa hata kuwachukulia hatua mafisadi ambao ni maswahiba wa mzee wa Msoga!!
 
Back
Top Bottom