Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

Serikali haiwez kuwa na EFD za kukusanyia mapato kama simu kwamba huyu tunampa ya tochi mwingine ya kuslidie!!hakuna mifumo ya namna hyo hata huko unakokisema.Zaid kinachoweza kufanyika ni kusubsidize ili watu wa chini waweze kuzipata kwa bei nafuuu!!
Stop advertising your foolishness!!!
Narudia kukuambia ndugu msomi, HUJUI KITU!...tembea uone!
 
Umesha jiuliza bei za efd za kwetu? Ni hili ni moja ya vitu vinsvyo ni fanya ni ulize kwa nini serikali ya awamu ya 5 haikulipa uzito unaostahili suala la be i ya efd. Hii ni moja ya kikwanzo kikubwa cha kupunguza wigo wa wawalipa kodi. Affordability wenye akili watanielewa hapa.
Haya ndio maswala ya kuzungumzia sasa si mtu kuja na mijazba yake katika mambo makubwa asiyoyajua!

Tatizo lililopo kama ulivyosema wapigaji nchini ni wengi sana kiasi kwamba hataaliyeshinda tenda ya kuzileta hizo EFD nae alipiga na hata waliompa nao walipiga pesa (rejea hotuba ya juzi ya JPM juu ya hii mifumo ya EFD)!

Mashine hizi kimsingi zinatakiwa zitolewe bure, ili anapofanya miamala kiadi kidogo kinaenda kama gharama za mshine kwa serikali!

Huku kwetu wapigaji hawaleti nafadi kama hizo. Hapa Rwanda kila mchuuzi ana mashine yake na serikali inapata kodi stahili!
 
Lengo kubwa, kwa fikra zangu, kwenye mpango wa kuwapa vitambulisho ni kuwabana wenye maduka makubwa wanaosemekana kukwepa kodi kwa kuwapa machinga bidhaa. Kwenye mpango huu atabanwa machinga mwenye kitambulisho aonyeshe receipt ya manunuzi ya bidhaa zake. Na yule asiye na kitambulisho atakuwa anavunja sheria na kuonekana anauza mali isiyolipiwa kodi.

Matokeo yake machinga watapungua na maduka yanayokwepa kodi yatajifunga. Hii itawatumbukiza vijana wengi kwenye shimo la ufuraka na kudidimiza uchumi. Mpango huu sio wakuushangilia hata kidogo.
 
Haya ndio maswala ya kuzungumzia sasa si mtu kuja na mijazba yake katika mambo makubwa asiyoyajua!

Tatizo lililopo kama ulivyosema wapigaji nchini ni wengi sana kiasi kwamba hataaliyeshinda tenda ya kuzileta hizo EFD nae alipiga na hata waliompa nao walipiga pesa (rejea hotuba ya juzi ya JPM juu ya hii mifumo ya EFD)!

Mashine hizi kimsingi zinatakiwa zitolewe bure, ili anapofanya miamala kiadi kidogo kinaenda kama gharama za mshine kwa serikali!

Huku kwetu wapigaji hawaleti nafadi kama hizo. Hapa Rwanda kila mchuuzi ana mashine yake na serikali inapata kodi stahili!
Are you the same person?Tulichokua tunabishana mim na wew ni affordability ya hizo mashine ukasema eti kuna EFD za wachuzi na wafanya biashara wakati,wakubwa!!!Nikakujibu ni zilezile ispokua watu wenye kipato kidogo wanaweza kupewa bure na serikali!!!Mara eeh hujui kitu ukifikiri kufika Rwanda ni kujua mengi wakat wenzio wamefika mpaka Europe hawana mbwembwe!
 
Hii ni economics ya wapi vile? Let these machingas do business and grow. Their growth will eventually be evaluated (annually) the basis of which the IDs are validated and new ones issued. Msichojua kwa JPM ni kuwa yeye anataka personnel wake every time to think keenly (widely and deeply) hence proactively address the obtaining social and economic challenges. If this approach fails, there will be innovative improvements to get a better policy in place. Hayo ndio maendeleo.
Try and error is for people like you guys, the weak minded.
Do your homework come up with a workable solution.

Kuna ma Phd ya kutosha kutengeneza sera nchini.
 
Try and error is for prople like you guys, the weak minded.
Do your homework come up with a workable solution.

Kuna ma Phd ya kutosha kutengeneza sera nchini.
It seems you know nothing about public policy development so you better either keep quiet or go for empty politics where persons of your type find heavens.
 
It seems you know nothing about public policy development so you better either keep quiet or go for empty politics where persons of your type find heavens.
Hata kiingereza cha kimachinga hujui, ongea kiswahili tu ueleweke, au kikwenu, pengine kuna watakao kuelewa.
 
Sisi wafanyabiashara tumejipanga kutoa bidhaa zetu nje ya maduka..

Haiwezakani Mimi nilipe kodi na mausumbufu yote ya TRA ila kuna watu ambao hawalipi kodi na wanauza bidhaa ile ilw ninayouza mimi....
Waingereza wanasema this is the bone of contentation.
Huwezi kuwa na wafanyabiashara wanaolipa kodi, na wale walioruhusiwa rasmi kutolipa kodi.

Tax Regime inaelekea kusikojulikana.
 
Zoezi lililoasisiwa na wanasiasa,ratibiwa na wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hili zoezi ni la kisiasa.
Kuwaingiza TRA hapo ati wawasajili lakini wasiwatoze kodi, surely we are deteriorating into a tax anarchy.
 
Ajiandae kwa kukusanya elfu ishirini ishirini za wamachinga?
Na kukosakodiza maana toka kwa wafsnyabiashara maana sasa tutaonge,a vijana kwa kuwapa hela za msingi na kuwanunulia IDs maduka tunafanya store au kuzifunga kbs
 
Zoezi lililoasisiwa na wanasiasa,ratibiwa na wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hili zoezi ni la kisiasa.
Kuwaingiza TRA hapo ati wawasajili lakini wasiwatoze kodi, surely we are deteriorating into a tax anarchy.
Walipa kodi halali wa kubwa na wadogo tunaanza kuwatumia wenye I'd kutuuzia vyetu na qatapanga hadi kwenye counter
 
Hii ni economics ya wapi vile? Let these machingas do business and grow. Their growth will eventually be evaluated (annually) the basis of which the IDs are validated and new ones issued. Msichojua kwa JPM ni kuwa yeye anataka personnel wake every time to think keenly (widely and deeply) hence proactively address the obtaining social and economic challenges. If this approach fails, there will be innovative improvements to get a better policy in place. Hayo ndio maendeleo.
Yaani we jamaa kila kitu ni ku-support hata kama ni cha kipumbavu!

Hivi unafahamu Machinga wengi, hususani wa Kariakoo na Karume ( I bet hata wa miji mikubwa) huwa wanachukua mzigo kwa mali kauli kwa matajiri wakubwa pale Kariakoo?! Kwamba, anaenda asubuhi kwenye duka la tajiri yake na kuchukua mzigo wa hata 5 Million... hapewi risiti wala karatasi!

Akishachukua mzigo, anaenda nao kwenye ubao wake wa kimachinga na akishauza, ya tajiri anapeleka kwa tajiri cha juu anabaki nacho mwenyewe!! Transactions kati ya hawa watu wawili haiwi documented popote.... kwa sababu, ni biashara ya kuaminiana!

Sasa kabla ya kutetea, umeshawahi kujiuliza tajiri mmoja anafanya undocumented transactions ngapi kwa mwaka?!

And FYI, hata hao Machinga ambao baadae wanakua (grown) nao wakishakuwa na uwezo wa ku-import wanatumia mbinu ile ile! Anaagiza mzigo wa 50M na wote huo unaishia kwenye vibanda vya kimachinga ambavyo vimehalalishwa rasmi kutolipa kodi!!!

Btw, unafanya fanya vipi hiyo annual evaluation yako unayosema kwa mtu anayefanya biashara bila formal documentation?! Au kwa akili yenu mnadhani wakati mnawapa ID mtakuta katundika jeans 25 na baada ya mwaka mnatarajia mtakuta katundika jeans 1000?!

Now lemme tell you this: Of course, wakati mnawapa ID watakuwa na uwezo wa jeans 25 na baada ya mwaka wanaweza kuwa na uwezo wa jeans hata 10K lakini utakazoziona zile zile, kati ya 25-50 na kuendelea kushikilia rekodi ya mjasiriamali mdogo wakati anafanya biashara ya mamilioni!
 
Umesema kweli tupu. By the way, Magu kapata wapi pesa ya kuprint vitambulisho? PPA zimefuatwa? Mchakato ulifuatwa Kivipi??
 
Back
Top Bottom