Kwa hili la vitambulisho vya Rais Magufuli naomba nitofautiane

Wakati LHRC inaendelea na mahadhimisho ya siku ya haki za binadamu, ghafla mkutano unaitwa vinaletwa vitambulisho vilivyotengenezwa miaka ya nyuma na vinavyo expire mwakani ambavyo awali ilionekana vingesababisha wenye maduka makubwa kukwepa kodi. Unganisha doti. Event, timing, and intentions.
 
Alipotoa kauli nimeleta vitambulisho vyangu wenye mawazo chanya tulijua tu hiyo ni janja ya kujipatia mtaji wa kisiasa hakuna jingine...
 
Hizo takwimu hazitasaidia kuongeza asilimia ya kodi inayotozwa kuuwiana na GDP lakin pia kuongeza wigo wa walipa kodi kama hakuna mikakati ya kurekebisha kasoro zilizopo, nitazitaja baadhi..kitengo cha utafiti wizara ya fedha hata TRA bora kifutwe au zitangazwe nafasi wapatikane watu wanaoweza kuja na jibu la kuongeza wigo wa walipa kodi, hasa kucapture sekta isiyo rasmi, pili waziri Mpango na Bw. kichere waondolewe, sijawahi ona mtu mwenye kiburi km Mpango!!! a Books doctor tu hana kitu huo ndio ukweli!!, tatu wanaomsaidia Rais vetting ya kupata watu wakumsaidia nao wabadilishwe, haiwezekani taifa lenye watu milion 55 likose watu hodari wenye reasoning ya kisasa kwa uchumi wa kisasa na ni problem solvers!!! kwa mfano kilichofanyika leo cha Rais kuja na vitambulisho vyake kwa wafanya biashara wa sekta isiyo rasmi si jibu kiuhalisia, kwanza hivyo si vitambulisho, labda tuseme ni kadi za biashara, kwa sababu kitambulisho lazima kiwe na jina la muhusika, au picha, au jinsia, eneo anapoishi, kazi yake, umri nk..ni kadi isiyo na mwenyewe!! na kama Rais amekuja na wazo hilo bila kuwashirikisha Mpango na Kichere sijui wanafanya nini hapo maana hataki ushauri wao..na kama aliwashirikisha wakamkubalia alilete kama lilivyo basi hawafai kuwa washauri kabisa!!!kwa kadi hizo za Rais wafanya biashara wote hata wale wenye mtaji zaidi ya hizo sh. milioni 4 watachukua kadi hizo, amini usiamin namba ya walipa kodi inakwenda kupungua kabisa! baadhi ya mapungufu ya kadi hizo ni kama ifuatavyo:
1. Kadi inaruhusu mwenye mtaji usiozid milioni 4 bila kuwa na namna ya utambuzi wa mtaji wa muhusika, kwa hiyo hata mwenye mtaji unaozidi milion 4 atachukua.
2. Wahalifu watatumia kadi hizo kukwepa mkono wa dola wakati wowote wanapotafutwa..
3. Kadi ikipotea inaweza tumiwa na mtu mwingine sehemu yoyote ambaye hakuilipia hiyo kadi,
4. Kutatokea matukio ya kuibiana hizo kadi kwa lengo la kuzitumia sehem nyingine, namba peke yake haitoshi kufanya aliyeiiba asiitumie sehemu nyingine,
5. Kama watu wanafoji pesa, watashindwa kuchonga hiyo kadi?? hata iwe na upekee hao wanaovitizama hata akigundua ni kadi feki atatumia kosa hilo kuomba rushwa..hivyo kadi zinatengeneza mwanya wa rushwa!!
Sikuwahi kufikiri kama taasisi ya ikulu inaweza kuwa na watu wasioweza kumshauri kiongozi pale anapokuja na wazo lake, hii tabia ya kujifanya wao wanajua kila kitu ni potofu kabisa haina msaada kwa nchi hii! Mim ni mmoja wa watu wanaofahamu mbinu au namna nzuri ya kuicapture sekta isiyo rasmi kuingia kwenye mfumo wa kodi..lakin kwa vile watu wanajifanya kujua wacha waendelee, tutaona watakapofikia..kila la heri Mpango na Kichere..
Maelezo mazuri, kuna mwenye swali hapa?...
Ila Mkuu utambue tu hiyo ni janja kujiandaa 2020
 
Tatizo la TRA wao wanafikiri ili mtu alipe kodi ni mpaka awe na chumba cha duka, ndio maana wafanyabiashara wengi wameenda kujificha kwenye mabanda, pale karume kuna watu wanashusha contener za viatu na mabegi kutoka nje lakini hawana EFD machine. Na wana mitaji mikubwa tu.
 
Rais nchi yoyote ndiye msimamizi wa Ilani, sera, sheria, utekelezaji na utendaji wa serikali.

Toka mapema mimi silifagilii sana suala la machinga kwa vile kimsingi ni kuahirisha tu tatizo kubwa la sera ya ushirikishwaji na ajira za vijana wasio katika ajira rasmi.

Leo tumeshuhudia machinga kupewa vitambulisho ambavyo kimsingi havieleweki kuwa ni vya nini haswa.

Kwa wamachinga its a licence to kill, and with impunity.

Katika Tanzania na kwingineko, wafanya biashara lazima wawe na formal distribution lines.
Na hizo distribution lines ndio unaweza kupata ukusanyaji wa kodi.
Dr Mpango amelizungumzia hili tatizo Bungeni juu ya upotevu wa kodi kwa kuwapa kipau mbele machinga.
A person of no fixed abode hawezi kuwa msingi mzuri wa kodi kwani nitajiuliza, atapataje TIN, EFD na hata kukadiriwa na ku enforce kodi zake za mapato!

Tusijejidanganya, kundi hili la machinga do not add value kwenye product wanayouza.
Wanachofanya machinga ni subsistance bussinessing at the expense of tax evasion.
Kwa vile hawalipi kodi they can afford kuuza bidhaa kwa bei ya chini.

Tukirudi kwenye somo la DS pale Mlimani, nililoliona siku nyingi, machinga lazima waboreshewe mazingira ili warudi kwenye basic means of production, KILIMO.

Kuwasajili machinga kwa vitambulisho sana sana tunakoleza umasikini na kuahirisha ufumbuzi wa tatizo.

Of course kuna political capital katika kuwaenzi machinga lakini hilo si tatizo la kuisha leo au kesho, lazima liwe na sera, mipango endelevu na ya muda mrefu.

Mbaya zaidi, Mh Rais anapo decree a solution to a percieved problem, hakuna wa kupinga.

Ni mawazo tu, naweza kuwa wrong, lakini TRA, wana kazi.
Haya ni maandalizi ya 2020 baada ya kuona kimbunga cha Membe hivyo ameanza kutafuta uungwaji mkono wa wamachinga maana hawa ni kundi kubwa ambalo misimamo yao hutegemea nani yupo karibu yao na anawatetea. Lowassa naye aliwatumia sana hawa na wakamkubali. Usishangae ameanza kuwaita ikulu hata wale aliowaita mafisadi hadi kuwaundia mahakama akina Lowassa na Rostam.

Hii yote ni kutafuta uungwaji mkono kutoka katika makundi yao. Hata mstaafu wa usalama wa taifa kaitwa lengo ni hilohilo. Maamuzi ya korosho pia ambayo ameingia mkenge lengo ni hilo hilo. Kilichomponza ni kujisifia kwa jambo ambalo hakulifanya yeye. Bei ilipokuwa nzuri katika soko la dunia hadi wakulima kunywa bia na mbuzi alijisifu kuwa ni serikali yake ndiyo iliyosababisha. Bei iliposhuka soko la dunia wakulima wakamwangalia yeye kwakuwa ndiye waliyejua anapanga bei. Ikabidi ajitose badala ya kuwaambia ukweli wakulima akasema atanunua yeye kwa kutumia jeshi.

Sasa mambo yamegeuka baada ya kuona ngoma nzito badala ya kununua korosho wanakagua mashamba! Wakulima na wafanya biashara wanateseka badala ya kulipwa eti hawatalipwa hadi waoneshe mashamba. Maajabu ya dunia!
 
Lazima kuwe na maeneo maalumu ya kufanyia biashara,huwezi kuwaachia watu wazibe njia za wapita kwa miguu na kusababisha foleni zisizokuwa na tija.
 
Wamachinga ni sehemu kubwa/kichaka kikubwa sana cha ukwepaji kodi. Bidhaa wanazo uza nyingi hazikatiwi risiti za kodi na wanao wauzia.
Wakati Rwanda hadi muuza vocha kwenye foleni ya Magari barabarani anamashine ya EFD!

Kodi lazima ikusanywe. Hao tunaowaita machinga na hawalipi kodi kipato chake kwa mwaka ni kikubwa kuliko sekretari katika ofisi ya mkuu wa wilaya lakini huyu kila mwezi analipa kodi kwa lazima kupitia mshahara wake!

Watu walipe kodi. Kigali na Rwanda kwa ujumla mtu anaona ufahari kulipa kodi kwa sababu anaona faida ya kufanya hivyo!

Kwetu kidogo ni tofauti. Wengi wanaolipa wanaona wanalipa kodi kubwa, na hawaoni faida kubwa ya kufanya hivyo kwa sababu ama hawaoni tija ya kutosha kutokana na kodi zao, ama wanaumia kuona wengine ndio wafaidikaji wakubwa wa kodi zao, na wengine wenye vipato zaidi yao hawalipi kodi ipasavyo!
 
Rais nchi yoyote ndiye msimamizi wa Ilani, sera, sheria, utekelezaji na utendaji wa serikali.

Toka mapema mimi silifagilii sana suala la machinga kwa vile kimsingi ni kuahirisha tu tatizo kubwa la sera ya ushirikishwaji na ajira za vijana wasio katika ajira rasmi.

Leo tumeshuhudia machinga kupewa vitambulisho ambavyo kimsingi havieleweki kuwa ni vya nini haswa.

Kwa wamachinga its a licence to kill, and with impunity.

Katika Tanzania na kwingineko, wafanya biashara lazima wawe na formal distribution lines.
Na hizo distribution lines ndio unaweza kupata ukusanyaji wa kodi.
Dr Mpango amelizungumzia hili tatizo Bungeni juu ya upotevu wa kodi kwa kuwapa kipau mbele machinga.
A person of no fixed abode hawezi kuwa msingi mzuri wa kodi kwani nitajiuliza, atapataje TIN, EFD na hata kukadiriwa na ku enforce kodi zake za mapato!

Tusijejidanganya, kundi hili la machinga do not add value kwenye product wanayouza.
Wanachofanya machinga ni subsistance bussinessing at the expense of tax evasion.
Kwa vile hawalipi kodi they can afford kuuza bidhaa kwa bei ya chini.

Tukirudi kwenye somo la DS pale Mlimani, nililoliona siku nyingi, machinga lazima waboreshewe mazingira ili warudi kwenye basic means of production, KILIMO.

Kuwasajili machinga kwa vitambulisho sana sana tunakoleza umasikini na kuahirisha ufumbuzi wa tatizo.

Of course kuna political capital katika kuwaenzi machinga lakini hilo si tatizo la kuisha leo au kesho, lazima liwe na sera, mipango endelevu na ya muda mrefu.

Mbaya zaidi, Mh Rais anapo decree a solution to a percieved problem, hakuna wa kupinga.

Ni mawazo tu, naweza kuwa wrong, lakini TRA, wana kazi.

Umesahau kuongezea kifuatacho:
Wafanyabishara wadogo na wakati (SMEs) watashuka daraja kuwa machinga. Viwanda vikubwa vitakosa distribution channels zinazobebwa na SMEs sasa hivi.
 
Mpaka kitu kikatolewe maamuzi na Rais maanake kajiridhisha na kupata ushauri wa wataalam wa mambo ya KODI with relevant studies kutoka nchi zilizofanya best practices za formalization ya SMEs. Mathalan wachimbaji wadogo nchini wanahitajika kirasimishwa sio kwa sababu ya kutambulika kama walipakodi wadogo bali pia kujua idadi yao ili kuweza kuwapangia mipango ya maendeleo. Binafsi nalikaribisha zoezi hili kwa mikono miwili na nina uhakika wahusika watalipenda na litakuwa na manufaa zaidi kwao tofauti na tunavyodhani

Umejitungia policy yako hapa. Alichokisema jiwe na ulichokiandika hapa mantiki yake ni magharibi na mashariki. Unadhani tunaoona makosa yaliyopo kwenye utawala huu tunasema hivi kwa kuwa hatumpendi jiwe?
 
Haya ni maandalizi ya 2020 baada ya kuona kimbunga cha Membe hivyo ameanza kutafuta uungwaji mkono wa wamachinga maana hawa ni kundi kubwa ambalo misimamo yao hutegemea nani yupo karibu yao na anawatetea. Lowassa naye aliwatumia sana hawa na wakamkubali. Usishangae ameanza kuwaita ikulu hata wale aliowaita mafisadi hadi kuwaundia mahakama akina Lowassa na Rostam.

Hii yote ni kutafuta uungwaji mkono kutoka katika makundi yao. Hata mstaafu wa usalama wa taifa kaitwa lengo ni hilohilo. Maamuzi ya korosho pia ambayo ameingia mkenge lengo ni hilo hilo. Kilichomponza ni kujisifia kwa jambo ambalo hakulifanya yeye. Bei ilipokuwa nzuri katika soko la dunia hadi wakulima kunywa bia na mbuzi alijisifu kuwa ni serikali yake ndiyo iliyosababisha. Bei iliposhuka soko la dunia wakulima wakamwangalia yeye kwakuwa ndiye waliyejua anapanga bei. Ikabidi ajitose badala ya kuwaambia ukweli wakulima akasema atanunua yeye kwa kutumia jeshi.

Sasa mambo yamegeuka baada ya kuona ngoma nzito badala ya kununua korosho wanakagua mashamba! Wakulima na wafanya biashara wanateseka badala ya kulipwa eti hawatalipwa hadi waoneshe mashamba. Maajabu ya dunia!
Umenichekesha eti lengo ni kununua korosho wameishia kukagua mashamba. Hii ndo Bongoland
 
Swali langu ni moja tu kuhusu suala hili, Raisi ameonya wamachinga wasitumike kama wasambazaji wa bithaa za wafanyabiashara wakubwa. Ukweli ni kuwa wengi wa wamachinga hawana mtaji na shughuli yao kubwa ni usambazaji
Mkuu ni afadhali umeliona hilo.
Haya ni maandalizi ya 2020 baada ya kuona kimbunga cha Membe hivyo ameanza kutafuta uungwaji mkono wa wamachinga maana hawa ni kundi kubwa ambalo misimamo yao hutegemea nani yupo karibu yao na anawatetea. Lowassa naye aliwatumia sana hawa na wakamkubali. Usishangae ameanza kuwaita ikulu hata wale aliowaita mafisadi hadi kuwaundia mahakama akina Lowassa na Rostam.

Hii yote ni kutafuta uungwaji mkono kutoka katika makundi yao. Hata mstaafu wa usalama wa taifa kaitwa lengo ni hilohilo. Maamuzi ya korosho pia ambayo ameingia mkenge lengo ni hilo hilo. Kilichomponza ni kujisifia kwa jambo ambalo hakulifanya yeye. Bei ilipokuwa nzuri katika soko la dunia hadi wakulima kunywa bia na mbuzi alijisifu kuwa ni serikali yake ndiyo iliyosababisha. Bei iliposhuka soko la dunia wakulima wakamwangalia yeye kwakuwa ndiye waliyejua anapanga bei. Ikabidi ajitose badala ya kuwaambia ukweli wakulima akasema atanunua yeye kwa kutumia jeshi.

Sasa mambo yamegeuka baada ya kuona ngoma nzito badala ya kununua korosho wanakagua mashamba! Wakulima na wafanya biashara wanateseka badala ya kulipwa eti hawatalipwa hadi waoneshe mashamba. Maajabu ya dunia!
Mkuu playing politics na uchumi ni hatari.
Na haijalishi ni nchi gani, leo mama Theresa May anakula jeuri yake kwa kuiongoza Uingereza katika kipindi uamuzi (ambao ni popular) ambao unaua uchumi unawaingiza katika mifarakano na majirani zake ote.

Hawa machinga watafurahi, lakini watatumiwa vizuri sana na wafanyabiashara wakubwa kukwepa kodi.
Nami nikiagiza kontena langu la viatu kwa mathalani, nina sababu gani kukodi fremu, kulipia VAT kwa mnunuzi, kuajiri walinzi, umeme naoperational costs.
Njia rahisi nawapa viatu machinga kumi wakapange barabarani.
 
Hizo takwimu hazitasaidia kuongeza asilimia ya kodi inayotozwa kuuwiana na GDP lakin pia kuongeza wigo wa walipa kodi kama hakuna mikakati ya kurekebisha kasoro zilizopo, nitazitaja baadhi..kitengo cha utafiti wizara ya fedha hata TRA bora kifutwe au zitangazwe nafasi wapatikane watu wanaoweza kuja na jibu la kuongeza wigo wa walipa kodi, hasa kucapture sekta isiyo rasmi, pili waziri Mpango na Bw. kichere waondolewe, sijawahi ona mtu mwenye kiburi km Mpango!!! a Books doctor tu hana kitu huo ndio ukweli!!, tatu wanaomsaidia Rais vetting ya kupata watu wakumsaidia nao wabadilishwe, haiwezekani taifa lenye watu milion 55 likose watu hodari wenye reasoning ya kisasa kwa uchumi wa kisasa na ni problem solvers!!! kwa mfano kilichofanyika leo cha Rais kuja na vitambulisho vyake kwa wafanya biashara wa sekta isiyo rasmi si jibu kiuhalisia, kwanza hivyo si vitambulisho, labda tuseme ni kadi za biashara, kwa sababu kitambulisho lazima kiwe na jina la muhusika, au picha, au jinsia, eneo anapoishi, kazi yake, umri nk..ni kadi isiyo na mwenyewe!! na kama Rais amekuja na wazo hilo bila kuwashirikisha Mpango na Kichere sijui wanafanya nini hapo maana hataki ushauri wao..na kama aliwashirikisha wakamkubalia alilete kama lilivyo basi hawafai kuwa washauri kabisa!!!kwa kadi hizo za Rais wafanya biashara wote hata wale wenye mtaji zaidi ya hizo sh. milioni 4 watachukua kadi hizo, amini usiamin namba ya walipa kodi inakwenda kupungua kabisa! baadhi ya mapungufu ya kadi hizo ni kama ifuatavyo:
1. Kadi inaruhusu mwenye mtaji usiozid milioni 4 bila kuwa na namna ya utambuzi wa mtaji wa muhusika, kwa hiyo hata mwenye mtaji unaozidi milion 4 atachukua.
2. Wahalifu watatumia kadi hizo kukwepa mkono wa dola wakati wowote wanapotafutwa..
3. Kadi ikipotea inaweza tumiwa na mtu mwingine sehemu yoyote ambaye hakuilipia hiyo kadi,
4. Kutatokea matukio ya kuibiana hizo kadi kwa lengo la kuzitumia sehem nyingine, namba peke yake haitoshi kufanya aliyeiiba asiitumie sehemu nyingine,
5. Kama watu wanafoji pesa, watashindwa kuchonga hiyo kadi?? hata iwe na upekee hao wanaovitizama hata akigundua ni kadi feki atatumia kosa hilo kuomba rushwa..hivyo kadi zinatengeneza mwanya wa rushwa!!
Sikuwahi kufikiri kama taasisi ya ikulu inaweza kuwa na watu wasioweza kumshauri kiongozi pale anapokuja na wazo lake, hii tabia ya kujifanya wao wanajua kila kitu ni potofu kabisa haina msaada kwa nchi hii! Mim ni mmoja wa watu wanaofahamu mbinu au namna nzuri ya kuicapture sekta isiyo rasmi kuingia kwenye mfumo wa kodi..lakin kwa vile watu wanajifanya kujua wacha waendelee, tutaona watakapofikia..kila la heri Mpango na Kichere..
Mkuu nimesoma tena na tena mchango wako.
Una mantiki kwa vile kwa kweli pmoja na nia nzuri ya Mh Rais, bado kuna mapungufu makubwa kama ulivyo ainisha.

Mimi simlaumu sana Dr Mpango maana siku hizi ameanza kujielewa na kuelwa hali halisi.
Pale mwanzoni mwa mwaka 2017 mafanya biashara walipoanza kufunga biashara kutokana na kusumbliwa sana na TRA, Dr Mpango alidiriki kusema hajui kwa nini wafanyabiashara wanafunga biashara.
kiuhailisia alikuwa anaogopa kusema TRA wanawatoza isivyo halali kodi za maangamizi wafanya biashra.
Sasa hivi Dr Mpango anasema bila kumung'unya maneno.
Pale Bungeni alisema hawa machinga have no books of accounts, hawana sehemu ya kufanyia biashara, hivyo ufuatiliaji na upatikanaji wa kodi ni changamoto kubwa.
Huo ndo ukweli wenyewe.

Sasa hata leo wakipewa vitambulisho, watakatia wapi leseni za biashara, watasajili vipi biashara, na watapata TIN na EFD au ndo yale yale, wasisumbuliwe.
Kero barabarani ndo usiseme.

Kama msimamo utakuwa hivyo, nami nitawaleta machinga wangu kumi toka kijijini nawasajilisha, naleta kontena za bidhaa na Maisha yatasonga mbele.

Ila TRA walie tu maana wakitugusa barabarani kupitia hao vijana patachimbika!
 
Wakati Rwanda hadi muuza vocha kwenye foleni ya Magari barabarani anamashine ya EFD!

Kodi lazima ikusanywe. Hao tunaowaita machinga na hawalipi kodi kipato chake kwa mwaka ni kikubwa kuliko sekretari katika ofisi ya mkuu wa wilaya lakini huyu kila mwezi analipa kodi kwa lazima kupitia mshahara wake!

Watu walipe kodi. Kigali na Rwanda kwa ujumla mtu anaona ufahari kulipa kodi kwa sababu anaona faida ya kufanya hivyo!

Kwetu kidogo ni tofauti. Wengi wanaolipa wanaona wanalipa kodi kubwa, na hawaoni faida kubwa ya kufanya hivyo kwa sababu ama hawaoni tija ya kutosha kutokana na kodi zao, ama wanaumia kuona wengine ndio wafaidikaji wakubwa wa kodi zao, na wengine wenye vipato zaidi yao hawalipi kodi ipasavyo!
Rubbish!!! Kila jambo ni kuiga kwa kagame kwamba viongoz wetu hawawezi kufikiri sawasawa mpaka kagame awasaidie?Inasemekana hata mswada wa vyama vya siasa umekopiwa huko!!!!Huuu ni ujuha wa hali ya juu kwa nchi iliyojaa miprofesa
 
Back
Top Bottom