YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
Wengi Tumekuwa Tukiilaumu CCM Na Polis kwa kutoKuchukua Hatu Kwa Mauaji Ya Kikatili Na Kigaidi Yanayoendelea kutokea Nchini. Kupigwa Na Kunyanyaswa Wanachama Wa Chadema Na Viongozi Wake. Mimi Naamini Tatizo Si CCM Na Polisi Bali Ni Sisi Wananchi Kushindwa Kuchukua Hatua Stahiki Dhidi Ya Polis Na CCM. Na Hali Ya Wananchi Kuendelea Kukaa Kimya, Wao Wanapata kiburi kwa Kuwa Sisi Ni Waoga Na Kuendelea Kutunyanyasa. KWA NINI TUOGOPE MTIHANI TULIOTUNGA WENYEWE? Kwa Kuwa Wameshindwa Kulinda Usalama wa Raia Na Mali Zao Basi Wananchi Tuhamasishane Kujilinda Wenyewe Kwanza kwa Kung'oa Serikali Iliyopo Madarakani Ili Kuunda Serikali Ya Wananchi. Pili Kupitia Asasi Mbali2 Za Kijamii Na Vyama Vyote Vya Upinzani Watangaze Siku Ya Maandamano Ya Kitaifa. Sioni Sababu Ya Wanaojiita Wanaharakati Kuendelea Kukaa Kimya Wakati Watu Wanauwawa Huu Ni Unafiki. Rai Yangu Kwa LHRC (LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE) kusimama imara ktk hili, la kulinda na kusimamia haki na usalama wa raia.