chaggaa15
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 567
- 468
Serikali yetu ikiendelea hivi itathreaten uwekezaji na kuathiri mazingira ya ukuaji wa private sector.
Leo nimeona habari inashangaza kidogo kuwa serikali imeahirisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na imeamua kuwekeza kwenye bandari ya DSM na kuboresha zile zilizokuwapo.
Inaweza kuwa hatua yenye manufaa ila mikataba tuliyosaini tutalipa na fedha zipi wakati kazi haijafanyika?