Kwa hili la Segerea, CHADEMA ikiri imekosea

Polepole alipoenda kutaka kumpokea Msigwa alimsubiria Airport? Halafu hawa waliokuja kumpokea Mbowe si walisimama nje ya geti na sio kwenye lango LA magereza?
Usituchoshe na upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Polepole alimsubili msigwa nje na makamera yake na msigwa alipomuona akataka arudishwe gerezani, kulingana na kauli ya msigwa, ila washabiki wa chadema walitaka wafunguliwe geti wakamfuate bosi wao sasa hapo si kuna tofauti?
 
Tanzania kuna sheria mjomba?Nchi gani hiyo inayoendeshwa bila ya matakwa ya wananchi kama tuna viongozi wa kweli wangetupatia Katiba mpya na tume huru ila wanatumia Dola kujinufaisha wenyewe na kujilimbikizia Mali bila kujali wananchi wanavyopata tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo suluhisho ni kuvamia Gereza!?
 
Oops
Gereza la Roben lipo kisiwani.
Je, unauhakika watu walienda kisiwani kumpokea??? Au ndo hizi tango pori tunazoendelea kulishana kila siku???

Mbona Mandela wananchi walimpokea gerezani. Sema tu mamlaka zimechukizwa Mbowe kuachiliwa.
 
Wana CCM walifuata taratibu, shida ya nyie wapinzani ni upunguani wa kudhani kila jambo ni la kufanyia uana harakati. Unajua iwapo kina mdee wangeruhusiwa (mfano tu) then wakaingia na kutoka na mbowe basi wangewadhalilisha sana magereza. Wewe ona tu walivyoingia gerezani wanasema waliweza kuhamasisha uasi (walitumia neno kuwasha moto). Nadhani wajifunze upinzani wa kistaarabu, wa kuheshimiana na kushindana kwa hoja.

Uko sahihi, je ccm wanashindana kwa hoja? Huwezi kuwa una shindana kwa hoja kisha ukaishia kunajisi box la kura.
 
Gereza la mwisho alikotokea Mandela ni Voctofoster mkuu
Oops
Gereza la Roben lipo kisiwani.
Je, unauhakika watu walienda kisiwani kumpokea??? Au ndo hizi tango pori tunazoendelea kulishana kila siku???
La
 
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua na muwasho mtafute mudy,polepole ameenda na msafara na waandishi rundo yeye hakuvunja sheria.wewe ni punguani wahed bi choko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
muwe mnauliza mjifunze kwanza kabla ya kufungua uzi humu.....

Back
Top Bottom