Kwa hili la polisi ni mazoea au sio sahihi

wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
7,454
4,376
Imekuwa kawaida kwa polisi kuandika maelezo ya walalamikaji au watuhumiwa kama kielelezo cha maandishi.

je ni halali polisi kuandika maelezo ya mlalamikaji au mtuhumiwa ambaye anajua kusoma na kuandika kama kielelezo?

je polisi wanapo andika vielelezo hivyo vya maandishi hawawezi kuharibu au kupindisha ukweli?

Nakaribisha michango yenu
 
Hawawezi kuharibu ukweli.
Coz huwa wanaandika unachosema, mwisho huwa wanakupa usome maelezo yako km ndy yenyewe. Ni haki yako kusoma au kusomewa maelezo yako.
Me@raiahurutz
 
Kwa mwandiko gani basi mpaka tukupe ujiandikie mwenyewe maelezo!!!

Hebu tulia huko, geuka umuone King Kong anakuja. Shika tecno yako vizuri.
 
Kwa mwandiko gani basi mpaka tukupe ujiandikie mwenyewe maelezo!!!

Hebu tulia huko, geuka umuone King Kong anakuja. Shika tecno yako vizuri.

tatizo sio mwandiko

nilipita kituo cha wilaya fulani nikaona haki na wajibu kwa mlalamikaji au mtuhumiwa kujiandikia mwenyewe ikiwa anajua kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom