Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Baada ya magari ya mwendo kasi kuanza safari zake jijini Dar es salaam, hivi sasa kumeibuka wimbi la picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikionyesha vitu kama wanyama, watu, cartoon n.k katika mionekano mbalimbali na kupewa jina "....mwendo kasi"hali hii imepelekea baadhi ya watu kufurahia na wengine kuona ni karaha kwao!