Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

Wewe ulitaka wawe na bunduki ngapi ili ndo ujue kuwa ni majambazi??
Au ulitaka wauawe police wangapi ndo ujue kuwa hiyo bunduki moja inaweza kuua??
Wangefanikiwa kufanya tukio lao la kijambazi kwa kutumia hiyo bunduki moja wangeua na kupora mali za watu wangapi??

Okay wao walio staarabika na kutendeana haki ndio pekee wenye ruhusa ya kujitoa kwenye mahakama ya kimataifa ICC ili wasiangaliwe kwa lolote ila wewe huku ambaye bado hujawa binadam kamili ndio ubaki huko.
Pia kwao wao ni ruhusa kufanya chochote nchini kwako ila wewe kwao si ruhusa huo ndio ustarabu sivyo?
Hatuwezi kuhalalisha mambo yetu kwa sisi kuendeleza mambo mabaya. Kwa kuwa Americans are criminals basi na sisi tuendeleze unyama na uadui kwa wapinzani wetu.
Upinzani si uadui bali ni sera tofauti .

Tukikubali kuambizana ukweli , kuyaona matatizo yetu yalipo na kuyatatua tutakuwa jamii iliyostaarabika bila kusubiri hao wazungu kutusaidia kuzitatua . Umungumutu hautatusaidia, utaharibu tu
 
polisi wamepata wapi ushahidi wa taarifa waliyoitoa?

machoni mwa Watanzania tulio wengi pamoja na wadau wa maendeleo kama USA, EU, nk ile taarifa ya polisi ni sawa na karatasi ya kuchambia tu.
Taarifa ya polisi inawapunguzia sifa za kuitwa jeshi la polisi.
 
Huwa sielewi wanaoshabikia hawa watu at the same time wanajifanya wanatupenda sana. Bahati mbaya movement juu ya chuki mweupe juu ya mweusi imepata support ndogo kutoka bara la mtu mweusi na.hapa ndipo wanaendeleza kiki. Statue za hawa watu za madhambi yao juu ya mtu mweusi ziko zinabanduliwa kila mahara na wanaaibika kweli kweli sasa in short bado wanatamani kuwa juu yetu na.hasa wakitumia vilaka vichache vilivyo kati yetu
 
Ukweli mchungu ambao CCM hawaujui kwa sababu ni mambumbumbu ni kwamba hata ninyi CCM hampo salama! Endeleeni kutengeneza na kupalilia serekali ya mkono wa chuma. Mtavuna mnachokipanda sooner rather than later!
Nimekuuliza wewe sio mbumbumbu?
 
Usisahau na meli yenye bendera ya Tanzania imedakwa imebeba silaha za maangamizi huko libya
Wewe jamaa huwa sipendagi kukujibu sababu najua kuwa hawaga huwezi kujadili hoja ila umejawa na viroja vingi.

Hivi Tanzania ina meli ya masafa marefu hata moja??.
 
Huo uwezo mdogo unao usema labda ni kutokana na wewe mwenyewe kuto kugundua kuwa ni mtumwa wa fikira za kikoloni ama sivyo basi ni siasa ndio zinakupofusha macho mkuu ndio mana unashindwa kuelewa ninachokiandika hapa.
Hiyo kauli yako tu ya kujidharau na kujiona si kitu mbele ya wazungu ni uthibitisho tosha kabisa.
Nimekuuliza je wewe hujastaarabika??
Ukiitwa nyani na mzungu utakubali??

Wewe ndio uliesema kwenye comment yako hapo kuwa wao wako perfect kwenye sheria zao ila zakwetu sisi huku za kipuuzi, ukamtetea mtu aliyeua mbele ya macho ya watu tena kwa makusudi kabisa kisha anapewa dhamana ukasema wao wanasheria Bora kuliko sisi, lakini ajabu nakuona unaikana kauli yako mwenyewe hapo.

Wewe unaujua vizuri mfumo wa cctiv camera unavyofanya kazi?

Suala hapa si kwamba police wanatumikia siasa chafu bali wewe unataka police wafanyekazi na kutoa majibu kutokana na wewe jinsi unavyo amini ikitokea wakaja na majibu kinyume na Imani na fikira zako basi ni lazima tu utapingana nao kwa mantiki hiyo kwako wewe police hawawezi kuwa na jema kamwe kwasababu mara nyingi huwa wanaenda kinyume na matarajio yako na milengo ya kisiasa uliyo nao.

Usijifu kuwa makini kwa hiki unachokisema hapa hakiwezi kusemwa na mtu makini kama unavyo jinasibu mwenyewe, mtu makini unashindwa vipi kutambua madhara ya matamko ya ovyo ovyo yanayotolewa dhidi ya nchi yako bila kufata sheria za kimataifa halafu unatetea.!!

Ninarudia tena, una udhaifu mkubwa kwenye uandishi wako, ni vyema ukafanyia marekebisho eneo hilo. Hasa uwekaji wa koma na nukta.

Naendelea kusisitiza kuwa wazungu wako juu yetu sana, na wana ustaarabu kuliko sisi. Hili kwanza sikuambii ili ukabali au ukatae, lakini ndio ukweli mchungu. Ninaposema wazungu wako juu na wastaarabu kuliko sisi, haimaanishi wako perfect bali wanatuzidi kwenye eneo hili. Na wao kuwa wastaarabu kipimo chake ni kwa ujumla wake, ila kama ni suala la mtu mmoja mmoja hilo ni suala jingine. Ni kweli kuna wazungu baadhi sio wastaarabu na wanaweza kuwa washenzi, lakini hilo halizuii wao kuwa wastaarabu kwa umoja wao. Siafiki mzungu kuniita nyani maana hiyo ni dharau, lakini ww kama wewe, umekutana na wazungu wangapi wakakuita nyani? Mimi sijawahi kuitwa nyani na mzungu yoyote.

Kuhusu polisi kuua huko kwao na kupewa dhamana, hilo ni kwa mujibu wa sheria zao. Je polisi waliomuua Aqwilina walichukuliwa hatua gani kwenye mahakama ipi hapa kwetu? Sihitaji polisi waje na majibu niyatakayo, lakini naweza kupima bila kuacha shaka na aina ya majibu. Sina shaka na hilo nisemalo kuwa polisi wanatumikia siasa chafu. Sio kwamba ninajua mfumo wa CCTV ufanyavyo kazi, bali hiyo ni kazi yangu, hivyo ninajua ninachozungumza.

Ninaposema mimi ni mtu makini, sina chembe ya shaka na hilo. Fananisha uandishi wangu na wako, ili upate tofauti ya haraka haraka kati yangu na yako. Ninaposema umakini ujue ninaweza kutofautisha serikali na nchi. Najua yapi ni matamko dhidi ya nchi, na yapi ni matamko dhidi ya serikali. Unavyoongea inaonekana hujui tofauti ya nchi na serikali. Lakini kupitia mijadala kama hii na sisi watu makini, utajua tofauti ya nchi, na serikali.
 
Huwa sielewi wanaoshabikia hawa watu at the same time wanajifanya wanatupenda sana. Bahati mbaya movement juu ya chuki mweupe juu ya mweusi imepata support ndogo kutoka bara la mtu mweusi na.hapa ndipo wanaendeleza kiki. Statue za hawa watu za madhambi yao juu ya mtu mweusi ziko zinabanduliwa kila mahara na wanaaibika kweli kweli sasa in short bado wanatamani kuwa juu yetu na.hasa wakitumia vilaka vichache vilivyo kati yetu
Tuna watu waajibu sana humu kwenye nchi zetu mkuu.
 
Kwahiyo hiyo iliyo kamatwa huko Libya ikiwa na bendera yetu wanatusingizia?
Wewe jamaa huwa sipendagi kukujibu sababu najua kuwa hawaga huwezi kujadili hoja ila umejawa na viroja vingi.

Hivi Tanzania ina meli ya masafa marefu hata moja??.
 
Ninarudia tena, una udhaifu mkubwa kwenye uandishi wako, ni vyema ukafanyia marekebisho eneo hilo. Hasa uwekaji wa koma na nukta.

Naendelea kusisitiza kuwa wazungu wako juu yetu sana, na wana ustaarabu kuliko sisi. Hili kwanza sikuambii ili ukabali au ukatae, lakini ndio ukweli mchungu. Ninaposema wazungu wako juu na wastaarabu kuliko sisi, haimaanishi wako perfect bali wanatuzidi kwenye eneo hili. Na wao kuwa wastaarabu kipimo chake ni kwa ujumla wake, ila kama ni suala la mtu mmoja mmoja hilo ni suala jingine. Ni kweli kuna wazungu baadhi sio wastaarabu na wanaweza kuwa washenzi, lakini hilo halizuii wao kuwa wastaarabu kwa umoja wao. Siafiki mzungu kuniita nyani maana hiyo ni dharau, lakini ww kama wewe, umekutana na wazungu wangapi wakakuita nyani? Mimi sijawahi kuitwa nyani na mzungu yoyote.

Kuhusu polisi kuua huko kwao na kupewa dhamana, hilo ni kwa mujibu wa sheria zao. Je polisi waliomuua Aqwilina walichukuliwa hatua gani kwenye mahakama ipi hapa kwetu? Sihitaji polisi waje na majibu niyatakayo, lakini naweza kupima bila kuacha shaka na aina ya majibu. Sina shaka na hilo nisemalo kuwa polisi wanatumikia siasa chafu. Sio kwamba ninajua mfumo wa CCTV ufanyavyo kazi, bali hiyo ni kazi yangu, hivyo ninajua ninachozungumza.

Ninaposema mimi ni mtu makini, sina chembe ya shaka na hilo. Fananisha uandishi wangu na wako, ili upate tofauti ya haraka haraka kati yangu na yako. Ninaposema umakini ujue ninaweza kutofautisha serikali na nchi. Najua yapi ni matamko dhidi ya nchi, na yapi ni matamko dhidi ya serikali. Unavyoongea inaonekana hujui tofauti ya nchi na serikali. Lakini kupitia mijadala kama hii na sisi watu makini, utajua tofauti ya nchi, na serikali.
Mara nyingi katika mijadala yetu wewe huwa nakuachaga tu kwasababu huwa huna misimamo ya hoja zako, mara nyingi huwaga unakurupukia hoja ambazo zikikushinda kuzijibu basi huwa unaanza kujipinga mwenyewe na kuzikimbia hajo zako mwenyewe.

Ona hapo unavyo jipinga mwenyewe kwa hoja ulizo zianzisha, hebu rudi kwenye comment yako ya kwanza kule usome ulicho kiandika na majibu niliyokupa halafu njoo tena hapa uone jinsi unavyojichanganya mwenyewe.

Narudia tena mtu makini hawezi kuwa wa aina yako japo pia kujisifu ni haki yako.
Mtu makini unashindwa vipi kujua kanuni za kidiplomasia na sheria za kimaifa kwenye nchi huru, hayo matamko wanayo yatoa ovyo ovyo kila kukicha ndivyo sheria zinavyosema hivyo?
Unakuja kutetea Jambo kama hilo alafu unajiita mtu makini.!
 
wanasema uongo? wamesema tangu 29 haijatolewa taarifa ya mwenendo wa corovid-19, ni uongo? Kumbe nawewe ni wale wale!
Wanasema pia kuwa hospitali nyingi hasa za Dar zimejaa wagonjwa wa corona! Wanajielewa kweli hawa? Kwa hivyo sasa wewe naye ni wale wale siyo?
 
Mara nyingi katika mijadala yetu wewe huwa nakuachaga tu kwasababu huwa huna misimamo ya hoja zako, mara nyingi huwaga unakurupukia hoja ambazo zikikushinda kuzijibu basi huwa unaanza kujipinga mwenyewe na kuzikimbia hajo zako mwenyewe.

Ona hapo unavyo jipinga mwenyewe kwa hoja ulizo zianzisha, hebu rudi kwenye comment yako ya kwanza kule usome ulicho kiandika na majibu niliyokupa halafu njoo tena hapa uone jinsi unavyojichanganya mwenyewe.

Narudia tena mtu makini hawezi kuwa wa aina yako japo pia kujisifu ni haki yako.
Mtu makini unashindwa vipi kujua kanuni za kidiplomasia na sheria za kimaifa kwenye nchi huru, hayo matamko wanayo yatoa ovyo ovyo kila kukicha ndivyo sheria zinavyosema hivyo?
Unakuja kutetea Jambo kama hilo alafu unajiita mtu makini.!

Uzuri wa kujadili na watu makini ndio huu, wangalau sasa unabadilika kwenye uandishi, kwenye post hii naona unaanza kuzingatia uwekaji wa koma na nukta. Tutafika tu. Unaposema kuwa huwa unaniachaga kwenye hoja, kwangu ni kama kuvuja kwa pakacha. Kwanza kwenye hoja huwa sitafuti ushindi bali kuelimishana, huenda ww huwa unasaka ushindi ndio maana unajikuta ukipanick.

Kama hata kuandika kwa umakini huwezi, unapotumia neno perfect kisha ukasema ndio nilisema, najua hujui usemalo. Hujui maana ya neno perfect ndio maana umenilisha maneno kule kuwa nilisema wazungu ni perfect. Siwezi kutumia neno perfect pasipostahili. Sina shaka na hilo. Kimsingi hapa unasaka ushindi, na hapo ndio tatizo la msingi linapoanzia.

Kwa taarifa yako hao mabalozi sio wajinga, wanaona kwa macho yao uvunjwaji mkubwa wa sheria. Na hapa nchini uvunjwaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu, unafanywa na rais na serikali yake, kwa kudhani kuwa eti kwakuwa hili ni taifa huru, basi linaweza kufanya chochote bila kuchukuliwa hatua. Ni hivi, dunia haiwezi kufumbua macho ukiukwaji mkubwa wa sheria na uvunjwaji wa haki za binadamu, kwa kisingizio cha nchi huru. Na wanachokiongea hao mabalozi tunakiona maana ndio kilio chetu. Ni nani asiyefahamu ukiukwaji mkubwa wa sheria za nchi hii, na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu? Au kwakuwa watu wametiwa uoga na kundi la watu wasiojulikana, basi unadhani watu hawajui kinachoendelea?
 
Wewe ni mbumbumbu tu, kila mtu mpaka mtoto wa chekechea anajua kuwa jeshi la polisi linaitumikia CCM na wala siyo jeshi la kuaminika! Mliopata aibu ni ninyi CCM mnaotumia jeshi la polisi kuwatumikia ninyi wahuni
Huna haja ya kuwa na hasira Ndugu yangu..suala hili limekaa vibaya kwa Mhe. Mbowe, Chadema na upinzani kwa ujumla..likija kuwekwa wazi zaidi litaua upinzani..ni tukio la aibu Sana...
 
Uzuri wa kujadili na watu makini ndio huu, wangalau sasa unabadilika kwenye uandishi, kwenye post hii naona unaanza kuzingatia uwekaji wa koma na nukta. Tutafika tu. Unaposema kuwa huwa unaniachaga kwenye hoja, kwangu ni kama kuvuja kwa pakacha. Kwanza kwenye hoja huwa sitafuti ushindi bali kuelimishana, huenda ww huwa unasaka ushindi ndio maana unajikuta ukipanick.

Kama hata kuandika kwa umakini huwezi, unapotumia neno perfect kisha ukasema ndio nilisema, najua hujui usemalo. Hujui maana ya neno perfect ndio maana umenilisha maneno kule kuwa nilisema wazungu ni perfect. Siwezi kutumia neno perfect pasipostahili. Sina shaka na hilo. Kimsingi hapa unasaka ushindi, na hapo ndio tatizo la msingi linapoanzia.

Kwa taarifa yako hao mabalozi sio wajinga, wanaona kwa macho yao uvunjwaji mkubwa wa sheria. Na hapa nchini uvunjwaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu, unafanywa na rais na serikali yake, kwa kudhani kuwa eti kwakuwa hili ni taifa huru, basi linaweza kufanya chochote bila kuchukuliwa hatua. Ni hivi, dunia haiwezi kufumbua macho ukiukwaji mkubwa wa sheria na uvunjwaji wa haki za binadamu, kwa kisingizio cha nchi huru. Na wanachokiongea hao mabalozi tunakiona maana ndio kilio chetu. Ni nani asiyefahamu ukiukwaji mkubwa wa sheria za nchi hii, na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu? Au kwakuwa watu wametiwa uoga na kundi la watu wasiojulikana, basi unadhani watu hawajui kinachoendelea?
Je balozi wetu kule Washington na nchi za ulaya wakitoa taarifa za kushutumu serikali na mamlaka kwa ukiukaji wa haki za binadamu huko unadhani watafanywa Nini?!
 
Watakachofanywa ni suala jingine, lakini watakuwa wametekeleza wajibu wao.
 
Huna haja ya kuwa na hasira Ndugu yangu..suala hili limekaa vibaya kwa Mhe. Mbowe, Chadema na upinzani kwa ujumla..likija kuwekwa wazi zaidi litaua upinzani..ni tukio la aibu Sana...
Tukio la aibu ndugu yangu ni tukio la CCM kutumia polisi kama chombo chao cha kujiimarisha kisiasa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom