Kwa hili la leo tayari kashapata kura Milioni 20 za Watanzania

Nimpongeze Mkuu wa Nchi kwa hatua za mwanzo kabisa juu ya suala la Makenikia.

Kwanza amedhubutu na ameweza imezoeleka Waafrika kuwa wadhaifu pale wanapokuta na Wazungu ila naona awamu hii wamewekwa kona Mbaya,Ni nadra sana kwa Viongozi wa Nchi za Kiafrika kuchukua hatua au kusimama na wazungu na matokeo kutoka kama ya leo ya 50% by 50% kwenye nia pana njia ameonesha muelekeo mzuri na sisi tuanze kufaidi mali zetu.

Mwisho hongera sana wanakamati na Wazungu kwa kujali maslahi ya wanyonge

Bravo our President 2020 hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa unajua unachofanya.
Magufuli wazungu watazidi kumwogopa sana. Sifa yake kubwa nyingine ambayo watu hawajai-assess vya kutosha ni kutowababaikia wazungu kwamba anaweza kufungwa kwenda nje ya nchi kama viongozi wengine wanavyofanyiwa. Wakijidai kutaka kumpiga marufuku ama kutaka kumkamata kwa makosa yao yoyote wanayoweza kuanzisha, watakuwa ni sawa na kumsukuma churn ndani ya maji - JPM Hana shida na nchi zao, Ana-enjoy kuwa humu Bongoland.
So wamegundua the man is indeed indomitable na undisputed kwenye kujiamini katika uongozi wake. JPM is going to be a reference in world academic displines.
 
Aliyetoa hili povu hapa ana akili nyembamba kuliko uzi wa kushonea nguo. Hivi unaweza kupiga hesabu zilizotolewa pale ukatupa jibu kwamba tunalipwa ngapi au unaandika kwa itikadi ya siasa yako ya porini? Minyumbu mingine bana ni kuiacha tu iendelee kuliwa na mamba huku inajiona. Mtaendelea kuliwa hivyo hivyo kwa ujinga wenu na ufukara wenu wa fikra. Nyambaaafu
 
Eti kura ziibwe, mnashindwa eer day. Sasa unadhani mtamsimamisha nani hadi aje kumshinda Magufuli. Hakutatokea
Una uthibitisho kuwa tunashindwa?? Kama mwenyekiti wa tume hata idadi ya wapiga kura anachanganya itakua kuharibu matokeo??? Ww tulia na ww ni walewale
 
Una uthibitisho kuwa tunashindwa?? Kama mwenyekiti wa tume hata idadi ya wapiga kura anachanganya itakua kuharibu matokeo??? Ww tulia na ww ni walewale
Ninakuhakikishia Magufuli ataburuza nyumbu yeyote itakayowekwa kushindana nae.
 
Tegemea kukosolewa na kwa hili, hawana jema, roho zinawauma hatali, watakuja na vi propaganda na vihoja uchwala ilimradi walizishe tu mioyo yao isiyo na shukrani... ......shame on...............
Wewe mwanao anapotaka kuuliwa na wanaojitanabaisha "watu wasiojulikana" Roho haikuumi? Am sure Hata kama wewe ndiye mvaa kapero ni lazima roho itakuuma tu. Labda kama hauna mtoto ndio wa wenzako utawaona ni bijwijwi tu
 
Wekeni tume huru ya uchaguzi ndo utajua hao milion 20 watapigia kura nani. Labda mnataka mtuaminishe mapema hivyo ili mje muibe vizuri
Tume huru haiombwi afrika inapiganiwa,waambieni wabunge wenu huko bungeni wapambane na sio kususia susia na kutoka nje,wakomae mfano mzuri Uganda tuu hapo hawasusi mnapambana humohumo
 
Waaambie na ww wabunge wenu waache kuitikia kila kitu ndiooooo hata ktk masuala ya kimsingi ya Taifa. Hata wakipigania ikiwa bado bunge lina idadi kubwa ya wabunge wa ccm ambao wameweka matumbo yao mbele kuna litakalofanyika? Cha msingi waambie na wabunge wenu ipo siku na wao watakaangwa.
 
20m?! Ni mwaka gani idadi ya wanaopiga kura hasa ilifikaga kiasi hicho??
 
Hii story ishapita na wazungu wamegoma... Fuatilia mambo sio kusifiasifia tu
 
Back
Top Bottom