Kwa hili la leo nimegundua wanawake wa Kiafrika hawapendani

Camp Gilgal

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
4,452
4,578
Leo nilipokuwa naangalia na kusikiliza hotuba ya mh. Rais wa JMT kuna kitu strange na cha kusikitisha nimekiona. Ni dhana ambayo nimekuwa naisikia tu kwa muda mrefu lakini leo nimeithibitisha kuwa ni kweli.

Wakati rais anaingia kujibu pendekezo la 8 la bunge kuhusu kuwawajibisha watumishi aliowateua, alionekana kujaa kigugumizi na huruma kubwa. Lakini zilisikika kelele nyingi za "wanawake" zikimtaka aseme jambo.

Na lilipotajwa jina la Maswi au Muhongo kelele hazikusikika. Lakini alipomtaja Tibaijuka, kelele kubwa za wanawake zilisikika. Rais alionekana kusita kutoa maamuzi lakini wanawake walisimama na kumshinikiza kumfukuza Tibaijuka. Na alipotamka kumwajibisha Tibaijuka, wanawake wale walishangilia kwa zaidi ya dakika 3 au 4 hv.

Nikajiuliza, watu tunajua nani anapaswa kuwajibika. Labda kosa la Tibaijuka ni kuwa muwazi kwamba kachukua 1.6bn? Sioni tija ya kuwajibishwa peke yake na kuachwa wengine. Kwa nn wanawake washangilie kutolewa mwenzao kuliko wale wezi wenyewe?

Kwa shangwe zile Kweli nimeamini ule msemo usemao "wanawake wa kiafrica hawapendani." Basi tumwachie Mungu atoe hukumu, maana naona mamlaka zetu zinapata kigugumizi.

Nakukumbuka mwanamke wa kwanza kugombea urais Tanzania, mama Anna Senkoro. Baada ya mama yangu, wewe utabaki kuwa mmoja wa mashujaa wangu wanawake hapa Tanzania. Nje ya nchi ni Bi. Benazir Buto....RIP. Ilikuwa ni mwaka 2005 ulipojitokeza kuwania urais kwa chama kichanga cha PPT-maendeleo. Hata mwenyekiti wako, Bwana Mziray alikataa kukupigia kampeni na kuamua kumuunga mkono mh. Kikwete. Ulipata vikwazo vingi kutoka hata kwa wanawake wenzako. Kura ulizopata zinathibitisha hilo pamoja na maneno ya wanawake wenzako. Na baada ya uchaguzi ule ulikatishwa tamaa na kuacha siasa. Uliugua na kulazwa...naamini unaendelea vizuri na maisha yako.

"Nagombea urais ili kuwahimiza wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi za juu za kuchaguliwa na kuongoza." - Ulisema

Kwa hili la leo wanawake wa Tanzania nimegundua mna safari ndefu kujikomboa.

Nimesikitika!
 
Na alipotajwa jina la Maswi au Muhongo kelele hazikusikika. Lakini alipomtaja Tibaijuka, kelele kubwa za wanawake zilisikika. Rais alionekana kusita kutoa maamuzi lakini wanawake walisimama na kumshinikiza kumfukuza Tibaijuka. Na alipotamka kumwajibisha Tibaijuka, wanawake wale walishangilia kwa zaidi ya dakika 3 au 4 hv.

Nikajiuliza, watu tunajua nani anapaswa kuwajibika. Labda kosa la Tibaijuka ni kuwa muwazi kwamba kachukua 1.6bn? Sioni tija ya kuwaibishwa peke yake na kuachwa wengine. Kwa nn wanawake washangilie kutolewa mwenzao kuliko wale wezi wenyewe?

Kwa shangwe zile Kweli nimeamini ule msemo usemao "wanawake wa kiafrica hawapendani." Basi tumwachie Mungu atoe hukumu, maana naona mamlaka zetu zinapata kigugumizi.

Nakukumbuka mwanamke wa kwanza kugombea urais Tanzania, mama Anna Senkoro. Baada ya mama yangu, wewe utabaki kuwa mmoja wa mashujaa wangu wanawake hapa Tanzania. Nje ya nchi ni Bi. Benazir Buto....RIP. Ilikuwa ni mwaka 2005 ulipojitokeza kuwania urais kwa chama kichanga cha PPT-maendeleo. Hata mwenyekiti wako, Bwana Mziray alikataa kukupigia kampeni na kuamua kumuunga mkono mh. Kikwete. Ulipata vikwazo vingi kutoka hata kwa wanawake wenzako. Kura ulizopata zinathibitisha hilo pamoja na maneno ya wanawake wenzako. Na baada ya uchaguzi ule ulikatishwa tamaa na kuacha siasa. Uliugua na kulazwa...naamini unaendelea vizuri na maisha yako.

"Nagombea urais ili kuwahimiza wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi za juu za kuchaguliwa na kuongoza." - Ulisema

Kwa hili la leo wanawake wa Tanzania nimegundua mna safari ndefu kujikomboa.

Nimesikitika!

umsikitika, umechanganyikiwa na mwisho wa siku umejichanganya mwenyewe kwa kuandika vitu visivyoeleweka
 
Siyo hawapendani, kuwa mwanamke haina maana wanawake wenzio watakusapoti kwa kila jambo hata kama ni uozo!

Nimewapenda sana, mwenzao akifanya jambo linalowachafua wanamshuhulikia

Yes ni kweli mkuu. Bt what thing was so special about her dismisal? Atitude yao sijaipenda. Mbona hawakushikiza rais amwondoe Maswi au Muhongo km walivyofanya kwa Tibaijuka. Sote tunawajua wachawi wa Escrow.
 
Leo nilipokuwa naangalia na kusikiliza hotuba ya mh. Rais wa JMT kuna kitu strange na cha kusikitisha nimekiona. Ni dhana ambayo nimekuwa naisikia tu kwa muda mrefu lakini leo nimeithibitisha kuwa ni kweli.

Wakati rais anaingia kujibu pendekezo la 8 la bunge kuhusu kuwawajibisha watumishi aliowateua, alionekana kujaa kigugumizi na huruma kubwa. Lakini zilisikika kelele nyingi za "wanawake" zikimtaka aseme jambo.

Na lilipotajwa jina la Maswi au Muhongo kelele hazikusikika. Lakini alipomtaja Tibaijuka, kelele kubwa za wanawake zilisikika. Rais alionekana kusita kutoa maamuzi lakini wanawake walisimama na kumshinikiza kumfukuza Tibaijuka. Na alipotamka kumwajibisha Tibaijuka, wanawake wale walishangilia kwa zaidi ya dakika 3 au 4 hv.

Nikajiuliza, watu tunajua nani anapaswa kuwajibika. Labda kosa la Tibaijuka ni kuwa muwazi kwamba kachukua 1.6bn? Sioni tija ya kuwajibishwa peke yake na kuachwa wengine. Kwa nn wanawake washangilie kutolewa mwenzao kuliko wale wezi wenyewe?

Kwa shangwe zile Kweli nimeamini ule msemo usemao "wanawake wa kiafrica hawapendani." Basi tumwachie Mungu atoe hukumu, maana naona mamlaka zetu zinapata kigugumizi.

Nakukumbuka mwanamke wa kwanza kugombea urais Tanzania, mama Anna Senkoro. Baada ya mama yangu, wewe utabaki kuwa mmoja wa mashujaa wangu wanawake hapa Tanzania. Nje ya nchi ni Bi. Benazir Buto....RIP. Ilikuwa ni mwaka 2005 ulipojitokeza kuwania urais kwa chama kichanga cha PPT-maendeleo. Hata mwenyekiti wako, Bwana Mziray alikataa kukupigia kampeni na kuamua kumuunga mkono mh. Kikwete. Ulipata vikwazo vingi kutoka hata kwa wanawake wenzako. Kura ulizopata zinathibitisha hilo pamoja na maneno ya wanawake wenzako. Na baada ya uchaguzi ule ulikatishwa tamaa na kuacha siasa. Uliugua na kulazwa...naamini unaendelea vizuri na maisha yako.

"Nagombea urais ili kuwahimiza wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi za juu za kuchaguliwa na kuongoza." - Ulisema

Kwa hili la leo wanawake wa Tanzania nimegundua mna safari ndefu kujikomboa.

Nimesikitika!

wanawake twaweza.jpg
 
wanawake hatupendani hata siku moja ,hii yote ni kwa sababu tunaoneana wivu

Kwanini huwapendi wanawake wenzako?
Na kwanini umuonee mtu wivu kiasi cha kumchukia? Ukimuonea wivu inasakusaidia nini?
Badilika.

Mimi nawapenda sana wanawake wenzangu na nawapa kipaumbele kwenye mambo mengi kama tenda au uongozi.
 
Yes ni kweli mkuu. Bt what thing was so special about her dismisal? Atitude yao sijaipenda. Mbona hawakushikiza rais amwondoe Maswi au Muhongo km walivyofanya kwa Tibaijuka. Sote tunawajua wachawi wa Escrow.

Hujaipenda kwa sababu inawezekana una maslahi ya moja kwa moja na Tibaijuka, hatujuani humu!! Maana kama mpaka leo hujui kosa lake hilo ni tatizo mkuu, wao kama wanawake walikuwa na enthusiasm kuona anayewachafulia anawajibishwa!! That's all brother
 
Yes ni kweli mkuu. Bt what thing was so special about her dismisal? Atitude yao sijaipenda. Mbona hawakushikiza rais amwondoe Maswi au Muhongo km walivyofanya kwa Tibaijuka. Sote tunawajua wachawi wa Escrow.

Naona unaingiza na maneno ya ''basi tumwachie Mungu atoe hukumu'' huku ukijua kabisa huyu mama alifanya makosa kupokea fedha. Huenda wewe ni yule mama wa lile kanisa la Mikocheni unaumia kuona mtu wake anatimuliwa... Wewe huoni wanawake wanapaswa kusifiwa kwa ''kutaka kujisafisha wenyewe''!
 
Back
Top Bottom