TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wana Jf..!
Kuna siku nilikutana na mzee mmoja kikongwe kidogo akanininong'oneza kwamba haelewi mambo yanavyoenda pale mtaani kwake kuhusiana na huu mpunga wa TASAF
Madai ya mzee ni kwamba alikuwa ana kila kigezo cha kupata zile hela za kaya masikini lakini anahisi viongozi wake wa mtaa wanafanya figisu mwisho wa siku wanapigiana pande wao kwa wao. Hivyo mzee akanifuata kuniuliza je kwanini haya mambo yanatokea huku chini wakati Rais kila siku anapiga kelele?
Lakini juzi mheshimiwa Rais kaongea wazi kwamba anazijua hizo janja janja hivyo hilo suala halitomwacha mtu salama, binafsi nimefurahi sana kuona kwamba kumbe taarifa zishafika ngazi ya juu hivyo basi jipu limepata mtumbuaji.
Kwa kweli ilikuwa sio haki kuona vijana wadogo wengine wana uwezo wa kipato wanajipigia mapande wenyewe na kuwaacha wazee wengine wasio na kipato.
Kwa hili naomba tumpongeze Rais wetu anafanya kazi nzuri kwa kweli, sometime we have to be positively sio kila mda tuwe tunamkosoa tu muda mwingine tuwe tunasifia.