Kwa hili la chanjo ya COVID-19, Rais Magufuli ana maono

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Nikikumbuka Rais alipoongea katika moja ya ziara zake mwezi uliopita nakumbuka aliongea. "jamani haya Machajo sio ya kuyaamini amini. Machanjo ya kuletewa haraka haraka kipindi hiki sio mazuri..

Hakuishia hapo akawaonya na kuwatahadharisha Wizara ya Afya wawe makini

Leo hii asubuhi nimesikia chombo kimoja kikubwa cha habari duniani kiliripoti idadi ya nchi kuikataa chanjo ya COVID-19 ikiongezeka, nchi zaidi Duniani zinaendelea kuzuia au kusimamisha matumizi ya chanjo hizo baada ya kuonesha madhara kwa baadhi ya watu walioanza kuzitumia na hata baadhi ya sehemu kusababisha vifo.

Hili limenifanya nistuke na kufikiri haraka kuwa rais wetu John Pombe Magufuli alipata neema na maono ya hili mapema sana
Mungu ibariki Tanzania.

Mungu tulinde watanzania dhidi ya janga hili tuvuke salama.
 
Kamuangalie mabegani ana makovu ya chanjo za ndui.Wangetaka kumuua asingekuwepo.Pakistan na baadhi ya nchi zenye kujidai na misimamo ya imani leo hii wanalia na polio inavyoishi miongoni mwao.Think big,boss!
Chanjo za polio na magonjwa mengine zilipitia hatua zote za kitaalamu mpaka kuthibitishwa kwa matumizi ya binadamu.....tofauti na hii chanjo ya corona.......

Watu wanalilia chanjo, lakini chanjo ikiletwa na kuanza kuwaletea madhara wataanza kuilaumu serikali......
 
Lakini hii chanjo ya ndui nayo inafikirisha. Hivi wakuu mlishawahi kujiuliza. Why wazungu hawana chanjo. Na tunajua kua maafrika ndo yana afya genetically kuliko wazungu. Kwa sababu ya melanin tulionayo. How comes
 
Chanjo za polio na magonjwa mengine zilipitia hatua zote za kitaalamu mpaka kuthibitishwa kwa matumizi ya binadamu.....tofauti na hii chanjo ya corona.......

Watu wanalilia chanjo, lakini chanjo ikiletwa na kuanza kuwaletea madhara wataanza kuilaumu serikali......
Hii inanikumbusha wakati natoka kijijini nikiambiwa nimuogope kila mtu wa mjini Nilitumia akili zangu kwa kuwasoma mmoja mmoja.Naishi hadi leo.Tutumie akili.
 
Mbona unachomoka kwenye mada
Mkuu watu wengi wanashindwa kumuelewa yule mzee wanakurupuka tu.. rais sio kwamba alikataa chanjo bali anataka chanjo yenye uhakika sio hizo za haraka tu Kama mkojo wa ndotoni!

Kwake muda ndio unamajibu ya kuchagua chanjo ipi ni sahihi Jana tu nchi tatu Germany,ufalansa na Italy Kuna chanjo wameisitisha halafu kutumia.

Mkuu watu wengine ni kuwaacha tu maana wanaubishi wa asili..😅
 
Mkuu watu wengi wanashindwa kumuelewa yule mzee wanakurupuka tu.. rais sio kwamba alikataa chanjo bali anataka chanjo yenye uhakika sio hizo za haraka tu Kama mkojo wa ndotoni!...
Kwa nn wazungu hawana alama za chanjo begani?
 
Chanjo za polio na magonjwa mengine zilipitia hatua zote za kitaalamu mpaka kuthibitishwa kwa matumizi ya binadamu.....tofauti na hii chanjo ya corona.......

Watu wanalilia chanjo, lakini chanjo ikiletwa na kuanza kuwaletea madhara wataanza kuilaumu serikali......
 
Kamuangalie mabegani ana makovu ya chanjo za ndui.Wangetaka kumuua asingekuwepo.Pakistan na baadhi ya nchi zenye kujidai na misimamo ya imani leo hii wanalia na polio inavyoishi miongoni mwao.Think big,boss!
Ungejitahidi kujua utaratibu unaotumika hadi chanjo itumike kwa BINADAMU usingefananisha astrazeneca na hizo chanjo nyingine kama polio,nk! JPM na watu wengine wenye akili wanahoji haraka iliyotumikaikiw (ikiwemo kuomba vibali vya matumizi ya DHARULA) ya chanzo hizi za covid.

Nikufahamishe zaidi kuhusu Pakistan....Uingeleza mwaka juzi kulitokea mlipuko wa surua, wizara ya afya yao waliwabembeleza wazazi wakubali watoto wao wapewe hiyo chanjo! Kumbe kwa wenzetu kuchanjwa mwanao au kutochwanjwa ni hiari wakati huku tunaswagwa tu na hakuna anayejua madhara ya muda mrefu....si ajabu hata kukurupuka kwako kunatokana na chanjo ya BCG uliyopewa hahahah!
 
Mkuu watu wengi wanashindwa kumuelewa yule mzee wanakurupuka tu.. rais sio kwamba alikataa chanjo bali anataka chanjo yenye uhakika sio hizo za haraka tu Kama mkojo wa ndotoni!
Kwake muda ndio unamajibu ya kuchagua chanjo ipi ni sahihi Jana tu nchi tatu Germany,ufalansa na Italy Kuna chanjo wameisitisha halafu kutumia..
Mkuu watu wengine ni kuwaacha tu maana wanaubishi wa asili..
 
Ungejitahidi kujua utaratibu unaotumika hadi chanjo itumike kwa BINADAMU usingefananisha astrazeneca na hizo chanjo nyingine kama polio,nk! JPM na watu wengine wenye akili wanahoji haraka iliyotumikaikiw (ikiwemo kuomba vibali vya matumizi ya DHARULA) ya chanzo hizi za covid..
 
Ungejitahidi kujua utaratibu unaotumika hadi chanjo itumike kwa BINADAMU usingefananisha astrazeneca na hizo chanjo nyingine kama polio,nk! JPM na watu wengine wenye akili wanahoji haraka iliyotumikaikiw (ikiwemo kuomba vibali vya matumizi ya DHARULA) ya chanzo hizi za covid...
Kwann wazungu hawana chanjo za ndui begani? Kila mtu anakimbia hili swali
 
Back
Top Bottom