Kwa hili la Blandina Nyoni tunaomba Serikali itusamehe

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Kama ni dhahili Mama huyu asiye na upendo amefanya haya maovu dhidi ya sekta hii ya Afya nchini kwetu, tunaomba sana serikali itusamehe kwa vijembe tulivyoirushia siku zote. Hili sasa linanipa picha kuwa Serikali hutoa pesa nyingi kuisaidia jamii ila viongozi wenye tamaa ndio wanaoiangusha.

Tunaiomba Serikali sasa iimarishe huo mswada wa fedha haramu na iwe macho kujua nani ana akaunti za benki wapi na pesa inatoka wapi.

Pia kwa kutumia TIN namba na picha zake ibainishwe kuwa watu hawa ndio wale wenye miradi ile.

Tunajua watatumia WA-ASIA kujificha lakini mwisho wa siku watabainika tu. HONGERA rais wetu.

Tunaomba utoke katika usingizi wa uvivu na ujiwekee utaratibu wa kuwafuatilia akina Blandina kwani wako wengi mno. Mikoani, wilayani na ktk SU zetu.
 
Hadi afanye maamuzi mazito ndipo tutamsifia.

Bado aamke usingizini wenzie wanamzidi kete.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hana tunachoweza kumpongeza. Bado ni zoba na liko kwenye usingizi mzito! Acha kukurupuka kama umefumaniwa!
 
Back
Top Bottom