Kwa hili la Bashite(Makonda) nimeanza kumwamini Gwajima

2391984_IMG_20200507_145222.jpg
 
Jamani miswaki yoooote. Ila hata hivyo katoboa life,hadi kafanikiwa mkewe kazaa kwa kupandikizwa.
Kuna jirani yangu alimuagiza mwanae kitu ndani,nazani mwanae hakusikia vzr or hakuelewa. Jamaa akamind sana ukizingatia alikuwa kasha stua kidogo Faru John, akamtukana mwanae " Bashite mkubwa wewee" mke wa jamaaa alisikitika sana akesama " Baba....sio vzr kumuita mtoto majina ya hovyo hovyo una muathiri kisaikolojia" SASA NDO NAANZA KUELEWA VIZURI SOMO
 
Jamani miswaki yoooote. Ila hata hivyo katoboa life,hadi kafanikiwa mkewe kazaa kwa kupandikizwa.
Katoboa kwa mgongo wa damu za watu. Nilikuwa najiuliza sana hivi Mungu wetu bado yupo huko mawinguni au kashajifia kwa uzee,maana asingeruhusu Warioba azabwe vibao na maisha yaendelee as usual,achilia mbali familia ya Ben Saanane na Lissu
 
Back
Top Bottom