Elections 2010 Kwa hili kosa NEC tunataka maelezo

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
250
Kosa la NEC la kuchelewesha matokeo ya uchaguzi katika majimbo mbali mbali nchini lilisababisha watanzania kupandwa na jazba na kuleta fujo katika maeneo ya kutangazia matokeo katika majimbo mbalimbali yakiwemo Nyamagana(Mwanza),Arusha Mjini(Arusha) na Ubungo(DSM).

Mpaka leo NEC hawajatoa maelezo sahihi kwa nini matokeo yalichelewa kutoka katika majimbo hayo yaliyoko mjini.Tunataka maelezo au mtu mwenye kujua sababu azilete hapa

 

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
250
Sisi hatutaamini kama ulikuwa uchaguzi huru na wa haki bila maelezo ya kutosha sasa sijui mlichakachua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom