Kwa hili January Makamba alishatuonesha tangu mapema kuwa EL ni mtu wa namna gani

January wala hapaswi kufikiriwa kuwa anaweza kuwa mgombea wa urais..hafai hajui mshirikina muislamu na bado ana mambo ya kitoto..akagombee urais wa twitter
 
Kwanu Januzaj yeye hajawai kuhonga?, nilipata kusoma kwenye gazet la Mwananchi siku za nyuma kuna wajumbe aliwazawadia Smartphones,lakini pia Yule Mzee Ma-rope mkubwa mwaka 2010 aliibariki Rushwa,na huyu Januzaj hakutoa rushwa jimboni kwake?katika siasa zao watu wa CCM rushwa ni faradhi,asilielie

tuweke hilo gazeti hapa hewani tulione.
 
January wala hapaswi kufikiriwa kuwa anaweza kuwa mgombea wa urais..hafai hajui mshirikina muislamu na bado ana mambo ya kitoto..akagombee urais wa twitter

sasa urais na uislam wapi na wapi, hilo ndilo tatizo la hii team hawa hoja wala ushawishi wa kumuuza mgombea wao zaidi ya mgombea wao zaidi ya pesa
 
Back
Top Bottom