Kwa hili jambo nitamlaumu sana mama yangu hapa duniani

Mama yangu kiukweli toka nikiwa mdogo alikuwa anaonesha mapenzi makubwa sana kwangu na dada na wadogo zangu. Ingawa ilikuwa ngumu kubaini nani anapendwa sana ktk familia ya watu 5 wa kike 3 wa kiume wawili. Kila mtu aliamini anapendwa sana.

Tulipoanza kukua niligundua mama alikuwa akinipenda zaidi ingawa mwanzoni sikugundua hilo. Mara nyingi alipenda kunituma na kunipa kazi mbalimbali.

Mwanzoni nlihisi ananichukia. Kazi nyingi alipenda nifanye pamoja na kuwa na dada wa kazi yeye alitaka tufue nguo zetu wenyewe na vyombo alituwekea zamu wote kuosha wa kike na wakiume.

Mama alinifundisha kufanya kazi, kujiamini na kuamini nachoamini, kupenda shule, kuwa mtu mwema n.k

LINALONIFANYA NIMLAMU leo mama yangu ni kuwa katika mahusiano yetu kama mama na mwanaye hakunifundisha MATUSI. HILI KILA SIKU NIKIKAA NAWAZA SANA. Kwanini hakunifundisha matusi kama wenzangu wengi ambao walifundishwa na wazazi wao na jamii yao kwa ujumla?

Mpaka leo huwa nikitukanwa sijui kukasirika, sijui kutukana back...nacheka tu. Wakati wenzangu wanamwaga matusi kama maporomoko ya mafuriko kuelekea bondeni.

Namlaumu mama namlaumu pia baba. Baba simlaumu sana maana yeye alikuwa mtu wa safari za kikazi nje ya nchi. Tulibaki sana na mama.

Yeye kwanini hakuona umuhimu wa kunifundisha matusi?
Watu wengine bhana......hilo ndo la kumlaumu mzazi wako tena Mama??kama hujui bac ndo ujue Mamaako kakupunguzia mzigo wa madhambi
 
Hapo kwenye RED mkuu napata shida kuamini. Hivi ni mzazi yupi anaweza kumfundisha mwanaye MATUSI?
Mleta mada....nahisi wanao utawafundisha matusi yote A-Z....itatokea siku watakuja kukutukana kwa kuona ni jambo la kawaida
 
  • Thanks
Reactions: mij
Hujachelewa bado kuyajua matusi...
Nenda kaombe kazi tanesco ile ya kubeba nguzo za umeme na kuchimbia utajua matusi yote hata yanayotegemewa kutoka 2020'.
Au aende jkt mujibu wa sheria japo maafande wao husema siyo matusi lakin uraiani lugha kama zile in aghalabu kuzisikia
 
Mama yangu kiukweli toka nikiwa mdogo alikuwa anaonesha mapenzi makubwa sana kwangu na dada na wadogo zangu. Ingawa ilikuwa ngumu kubaini nani anapendwa sana ktk familia ya watu 5 wa kike 3 wa kiume wawili. Kila mtu aliamini anapendwa sana.

Tulipoanza kukua niligundua mama alikuwa akinipenda zaidi ingawa mwanzoni sikugundua hilo. Mara nyingi alipenda kunituma na kunipa kazi mbalimbali.

Mwanzoni nlihisi ananichukia. Kazi nyingi alipenda nifanye pamoja na kuwa na dada wa kazi yeye alitaka tufue nguo zetu wenyewe na vyombo alituwekea zamu wote kuosha wa kike na wakiume.

Mama alinifundisha kufanya kazi, kujiamini na kuamini nachoamini, kupenda shule, kuwa mtu mwema n.k

LINALONIFANYA NIMLAMU leo mama yangu ni kuwa katika mahusiano yetu kama mama na mwanaye hakunifundisha MATUSI. HILI KILA SIKU NIKIKAA NAWAZA SANA. Kwanini hakunifundisha matusi kama wenzangu wengi ambao walifundishwa na wazazi wao na jamii yao kwa ujumla?

Mpaka leo huwa nikitukanwa sijui kukasirika, sijui kutukana back...nacheka tu. Wakati wenzangu wanamwaga matusi kama maporomoko ya mafuriko kuelekea bondeni.

Namlaumu mama namlaumu pia baba. Baba simlaumu sana maana yeye alikuwa mtu wa safari za kikazi nje ya nchi. Tulibaki sana na mama.

Yeye kwanini hakuona umuhimu wa kunifundisha matusi?

Asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimwengu.
 
Matusi siyo malezi bali ni kukosa malezi na kushindwa kuhimili vishindo vya maisha.
 
Kinywa chako kina nguvu ya roho mtakatifu hongera sana. Bila shaka hatutofautiani sana
 
Wema akipewa majinuni hutamani upumbavu, usipomshukuru mungu neema hukuondoka na watapewa wenye kuihitaji
 
Mkuu hilo huwaga hatufundishwi ni juhudi zako tu kufuatilia majalida ya hivo vitu, ukipata na video zake sio mbaya, utafutaji mwema
 
Kuna mmama mmoja alikuwa Rafiki yake na bimkubwa mwanae makamu yangu alikuwa wakiume

Sasa yule mama kwa matusi alikuwa balaa

Alikuwa anamtukana mwanae utasikia"' hanithi mkubwaaa weweeee!!!!...." Au mwanaizaya mshenzi wewe ""

Daaah Ila jamaa hakuiga hayo matusi toka kwa mama yake cha ajabu jamaa leo ni Imamu Wa msikiti swala tano mfugandevu mzuzu ,mvaa vinjiwa na itikadi kwa sanaaa.

Wazazi acheni kuwatukana wanene maneno huweza umba
 
huwa nawaonea wivu sana wenzangu jinsi wanavyotokwa na matusi... wanatukana mpaka daaaahh...mtu unahisi kama vile walienda kusomea matusi sehemu flani. na najiuliza midomo hiyo hiyo wanayotukania na chakula kinapita hapo hapo? si nacho kitakuwa kinachafuka kwa hayo matusi?
 
kuna wazazi wapo. nimewah kusikia kabisa mzazi akimwita mwanaye we mbwa njoo hapa. au kiangalie hiki nacho kimalaya kidogo kinavyofanya" n.k n.k lakini najiuliza kama hawafundishwi na wazaz wao basi wanayatoa wapi hayo matusi? maana mimi nakaa na watu mbalimbali lakini mpaka leo nimeshindwa jifunza nashindwa kabisa kutukana.

Hapo kwenye RED mkuu napata shida kuamini. Hivi ni mzazi yupi anaweza kumfundisha mwanaye MATUSI?
 
  • Thanks
Reactions: mij
Mama yangu kiukweli toka nikiwa mdogo alikuwa anaonesha mapenzi makubwa sana kwangu na dada na wadogo zangu. Ingawa ilikuwa ngumu kubaini nani anapendwa sana ktk familia ya watu 5 wa kike 3 wa kiume wawili. Kila mtu aliamini anapendwa sana.

Tulipoanza kukua niligundua mama alikuwa akinipenda zaidi ingawa mwanzoni sikugundua hilo. Mara nyingi alipenda kunituma na kunipa kazi mbalimbali.

Mwanzoni nlihisi ananichukia. Kazi nyingi alipenda nifanye pamoja na kuwa na dada wa kazi yeye alitaka tufue nguo zetu wenyewe na vyombo alituwekea zamu wote kuosha wa kike na wakiume.

Mama alinifundisha kufanya kazi, kujiamini na kuamini nachoamini, kupenda shule, kuwa mtu mwema n.k

LINALONIFANYA NIMLAMU leo mama yangu ni kuwa katika mahusiano yetu kama mama na mwanaye hakunifundisha MATUSI. HILI KILA SIKU NIKIKAA NAWAZA SANA. Kwanini hakunifundisha matusi kama wenzangu wengi ambao walifundishwa na wazazi wao na jamii yao kwa ujumla?

Mpaka leo huwa nikitukanwa sijui kukasirika, sijui kutukana back...nacheka tu. Wakati wenzangu wanamwaga matusi kama maporomoko ya mafuriko kuelekea bondeni.

Namlaumu mama namlaumu pia baba. Baba simlaumu sana maana yeye alikuwa mtu wa safari za kikazi nje ya nchi. Tulibaki sana na mama.

Yeye kwanini hakuona umuhimu wa kunifundisha matusi?
wewe vipi, utafikiri mimi ninavyopambana na mtoto wangu mmoja hivi, yeye hata mwenzie akitaka kumpiga kibao anatulia tu anaacha uso hadi kibao kimkute ili alie aje asemelee, hata shuleni wenzie wanampiga halafu harudishi. nimemfundisha, ukiona mtu amekupiga, mkate kibao cha kueleweka, mng'ate hadi akimbie. sitaki ujinga mimi. akija kwangu ameonewa hata na wadogo zake anaambulia kipigo toka kwangu. sasaivi wadogo zake hawamwonei tena, na ni mtu wa kujiamini hategemei kusaidiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom