Kwa hili inatupasa tuwaheshimu wadada wakazi majumbani kwetu.

Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
412
Leo nimerudi nyumbani mapema. Nikakaa siting room, mm mpenzi wa music bila kujali music wa aina gani mm napenda tu, ijapokuwa singeli tu ndio sipendi. Akaja mwanangu analia ananiambia toa huo, toa hua, toa huo, nikamuuliza unataka nini anasema nimeoooooona!!!!!! Nikauliza tena eti !!!!!! nimeuooooooooona kama mara saba hivi sikuelewa kitu ikabidi nimuite mdada wa kazi amsikilize mwanangu. Yeye akamuelewa kumbe anataka wimbo wa nimeuona mkono wa bwana wa jamaa mmoja anaitwa goodluck. Baada ya kuwekwa huo wimbo amani ikapatikana nyumbani. Nimejifunza kitu kwakweli
 
Aibu kweli mtoto wako mwenyewe haumwelewi na unakuja kujitangaza hapa. Huyo dada wa kazi ipo siku atawachoka au ndio atazoea hapo mateso kwa mtoto kadri anavyokua yatazidi.(msogezeni mtoto karibu yenu kuliko kumtegemea dada wa kazi)
 
Kwangu mm dada wa kazi ni zaidi ya ndg, kwa jinsi anavyonilelea mtoto wangu basi tu ni Mungu ndie ajuaye. Nampenda ht kuzidi ndg zangu, kuna kipindi niliugua sikuwa naweza kutembea km miezi minne na siku nakutwa na huo mkasa ndani kulikuwa na laki mbili. Alitunza hela hd nilipojitambua ndio akanipa hesabu ya matumizi nayo alitumia km elfu 50 tu kwa mahitaji ya mtoto.

Mama na yy tu ndio waliobaki kuniuguza hd nikapona nikaanza kutembea km kawaida, mtoto wangu alikuwa km wake maana sikuwa ht na uwezo wa kujitambua.
Nikikumbuka hayo, nazidi kumpenda na kumtakia kila jema ktk maisha yake. Huyu kwangu ni zaidi ya ndg.
 
Huyo mdada wa kazi kumshukuru zaidi inabidi uwe unamgegeda!Megundua mdada wa kazi kama unamgegeda heshima inakuwa kubwa sana ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom