Kwa hili inaonyesha uelewa na uwezo wa kupambanua mambo wa prof mhongo nimdogo sana

Siamin

Member
Apr 1, 2012
64
5
Leo nimesikitishwa na uwezo wa mhungo wa kuchambua mambo kuwa mdogo kiasi hiki, kwa mtu mwenye elemu level ya uprofesa huwezi kusimama na kumzalilisha Ole sendeka kwa kusema unasumbuliwa na mtu aliefeli. Je inamaana watanzania waliofeli mitihani yao ya kidato cha nne hawana haki ya kuhoji hatima ya nchi yao? Kweli nimeamin elimu bila hekima ni bure(useless).
 
ole sendeka ni felia kweli kweli, kuanzia shule mpaka bungeni. hivi huoni anavyokomalia vitu visivyo na maana kama serikali mbili. he deserved kila aina ya kejeli.
 
Leo nimesikitishwa na uwezo wa mhungo wa kuchambua mambo kuwa mdogo kiasi hiki, kwa mtu mwenye elemu level ya uprofesa huwezi kusimama na kumzalilisha Ole sendeka kwa kusema unasumbuliwa na mtu aliefeli. Je inamaana watanzania waliofeli mitihani yao ya kidato cha nne hawana haki ya kuhoji hatima ya nchi yao? Kweli nimeamin elimu bila hekima ni bure(useless).

Kama kafeli na hakufanya jitihada ya kujiendeleza anastahili shit!..prof asiishie hapo tu ashuke kwa wazembe wengine wa elimu kama sugu,mnyika,mbowe, lema...
 
Back
Top Bottom