Kwa hili Chadema mko Juu.

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,066
1,136
Nimefuatilia mdahalo wa Star TV kati ya Heche na Nape, Chadema wanatisha. Hivi vifaa mlivyonavyo hakuna tofauti na akina Lionel Messi.

Huyu Bw Hache ameongea hoja iliyonifurahisha sana, kwamb CDM wana "Chadema Student Organisation" (CHASO), kuhakikisha kuwa hata kwenye ngazi ya udiwani wanaingia wasomi.

Nape nae kaongea lakini mengi ilikuwa kuwatetea mafisadi na magamba yao. It was a funny debate.
 
Nimecheka eti Heche kama Messi, kuna siku tutaambiwa Loser Dk Slaa zaidi ya Obama
 
Heche ni dhihirisho kwamba hoja za chadema ni kwa maslahi ya taifa na si kutetea mafisadi na wezi
a
 
Nimefuatilia mdahalo wa Star TV kati ya Heche na Nape, Chadema wanatisha. Hivi vifaa mlivyonavyo hakuna tofauti na akina Lionel Messi. Huyu Bw Hache ameongea hoja iliyonifurahisha sana, kwamb CDM wana "Chadema Student Organisation" (CHASO), kuhakikisha kuwa hata kwenye ngazi ya udiwani wanaingia wasomi. Nape nae kaongea lakini mengi ilikuwa kuwatetea mafisadi na magamba yao. It was a funny debate.

Waswahili wanasema' "...Mjini mipango..."
 
Nimecheka eti Heche kama Messi, kuna siku tutaambiwa Loser Dk Slaa zaidi ya Obama
Penye ukweli sema ukweli. Manake hata Nape tumemsifu, japokuwa kiwango bado sio kikubwa.
 
Hii kali Heche amuweza Nape!! Yaani katibu wa itikadi na uenezi taifa dhidi ya mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema na sio viongozi wa juu wa Uvccm?? Inamaana mtu kama Zito naibu katibu mkuu Chadema hana mpinzani wa kufanya naye mdahalo pale ccm?! Duuh Heche kamuweza Nape??! Inamaana vijana wa CHASO ndo kipimo chao ni Uvccm taifa?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom