Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.

Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?

Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.
 
ulikuwa shimoni nini, ziara ilipangwa tangu June!
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

Wewe ndio umechemka na Mamluki
 
Mkuu

akili unazo! lakini huzitumii
 
Last edited by a moderator:
Mtoi..kama mtu ana nguo kabatini kwake lakini akatoka uchi..ni ngumu sana kumwambia ana nguo lakini havai...sisi tunaendelea kuamini "hana nguo"
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

Sioni kama kuna umuhimu wa wewe kuendelea kuwa ndani ya ndani ya chama hiki, We ni bora upite hivi, utuache na Chadema yetu, HUNA MAANA KABISA.
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

Umekurupuka kajipange upya, mkutano ulikuwepo kabla.
 
Sasa wakubwa matusi yote ya nini??Ukweli ni kwamba kachemka unitukane usinitukane ukweli utabaki hapo hapo tu...Siku zote lazima uthamini na kutombua michango ya mdau wa mtu mwingine siyo kila siku unakuwa negative tu...

Kwa taarifa yako nimekuwa nikisimamia uchaguzi wa Kigoma kuanzia uandikishaji wapiga kura hadi usimamizi wa vituo vya kupigia kura najua mchango wangu kwa chama niwapo Kigoma.
Wewe usiyeijua kigoma hata barabara endelea kukaa kwenye keyboard na matusi yako..
Ukweli ni kwamba angekubaliana na ushauri aliopewa na makamanda wa kigoma basi asingepungukiwa kitu chochote bali angesubiria muda muafaka wa kufanya ziara hiyo.
Hoja nazikaribisha na matusi nayakaribisha pia kwa kuwa hayatanipunguzia kitambi changu au Serengeti zangu..Ila kachemka period
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/566333-dr-slaa-alakiwa-buhingwe-kigoma-kwa-shangwe-kubwa-new-post.html
 
Back
Top Bottom