Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.