Kwa hili anachofanya Dr.Slaa Kigoma ameharibu -CHADEMA

Wewe ulikuwepo ? Na hizo hisia zao ulizipima kwa kutumia kipimo gani ? Kama ni picha wote si tunaziona ?Nikisema wewe ndie unayeleta propaganda (sababu unatoa claims bila kuwa na data) nitakuwa nakosea ?

Nyie (wenye mawazo ya aina hiyo) ndio mlisema hatapata watu...watu wa aina yenu wakathubutu mpaka kusema uongo kwamba kapokelewa na piki piki tano na watu wachache pale kahama, mlipoona hiyo hainunuliki, mkarudi kwenye mabango, sasa kwa sababu wa mabango wamekuwa wachache sana unaleta propaganda nyingine, na kuniona mimi mjinga kiasi cha kuniambia nimelewa propaganda za Nyerere na Makene kama vile mimi sina uelewa wa kutafsiri mambo kwa kutumia akili yangu !

Mkuu, yaelekea umelewa sana na propaganda za akina Yeriko Nyerere na Rumaini Makene. Ukweli ni kuwa hao unaosema hawazidi 30 ni wale wenye mabango. Ila kuna watu wengi wanampinga Dr Slaa na hisia zao zilikua waziwazi
 
Mzee slaa hana hekima na busara kuna mikoa mingi tu hapa Tz angeenda lakin sio kwenda kufanya nan zaid kule kgm. Huo n utoto unamsumbua huyu mzee...
 
Ndugu yangu! Huwezi kuwa mwanaharakati wa ukombozi na wakati huo huo ukawa na sifa ya uoga! Unachotaka Slaa akifanye ni uoga ambao haumfai mtu anayetaka kuwa kiongozi shupavu. Angalia wanaharakati wote wa ukombozi katika historia, sifa mojawapo kubwa ambayo wote walikuwa nayo ni ujasiri wa kusimamia msimamo wao hata kama ni kwa kujihatarisha. Fuatilia Maisha ya watu kama Nyerere, Mandela, Mahathma Ghandi, Marthin Luthrer King (Jr), n.k. Hivi Slaa akiogopa wahuni wachache walionunuliwa, atakuwa na ubavu gani wa kukabiliana na nguvu ya dola kandamizi kama hii ya CCM. Badili fikra zako mkuu.
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

tupia picha!!
 
Usingeitendea haki nafsi yako kama mwaka ungefika ukingoni bila kutema pumba kama hii! Big up!
 
Sasa wakubwa matusi yote ya nini??Ukweli ni kwamba kachemka unitukane usinitukane ukweli utabaki hapo hapo tu...Siku zote lazima uthamini na kutombua michango ya mdau wa mtu mwingine siyo kila siku unakuwa negative tu...

Kwa taarifa yako nimekuwa nikisimamia uchaguzi wa Kigoma kuanzia uandikishaji wapiga kura hadi usimamizi wa vituo vya kupigia kura najua mchango wangu kwa chama niwapo Kigoma.
Wewe usiyeijua kigoma hata barabara endelea kukaa kwenye keyboard na matusi yako..
Ukweli ni kwamba angekubaliana na ushauri aliopewa na makamanda wa kigoma basi asingepungukiwa kitu chochote bali angesubiria muda muafaka wa kufanya ziara hiyo.
Hoja nazikaribisha na matusi nayakaribisha pia kwa kuwa hayatanipunguzia kitambi changu au Serengeti zangu..Ila kachemka period

Wanafanya fujo kumi na mia tano wanachana kadi za ccm, hapo mafao ya kwenda kigoma slaa huioni?
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

we ni chizi kabisa , kwani kakwambia kaenda huko kumjadili zzk???
 
hayo ni mawazo yako! na haya mawazo ya watu waoga wanaofuata upepo kwani wewe shida yako nini mbona hujatoa mbadala ahirishe mpaka lini na kwa sababu gani? yaani aache huduma kwa jamii kwa sababu ya Zito who is Zito by the way! Zito ni yeye lakini chama ni cha watanzania akitaka hata kesho atoke tu kwani wametoka wangapi lakini chama kinaendelea? yeye si shida yake sifa? malengo ya Chama ni ukombozi si sifa binafsi kama anavyotaka zitto na wenzake maana sisa zao ni za vitabu vya historia za machifu wa kimila
 
chasuzy,

Nikirejea hapo penye rangi nyekundu, kama ingewezekana kupiga kura wanachama wote wa Chadema na kuamua issue ya Zitto, nakuhakikishia Zitto angefukuzwa Chadema...

Kwa mtizamo wangu, asilimia kubwa sana ya wanachama watachagua Zitto afukuzwe !...Kwa hiyo huko kwa wanachama wala usiende kabisa itakuwa balaa kubwa kwa Zitto....

ha ha haaaaaaa si angeachwa agombee!!!!
 
Ila Ikulu hamuezi kuingia hata kwa dawa... Endeleen tu kuzunguka

Madawa ya kulevya yatadhibitiwa yasiwafikie tume ya uchaguzi maana kura za chadema zikiibiwa bado zilizosalia zitakapokuwa zinahesabiwa zitakuwa zinakuwa nyingi kuliko za ccm.
 
Mpaka muda huu nimetukanwa na kukashifiwa mno..sijui kwa nini watu hawapendi kukosolewa au kwa nini hawapendi watu kuwa tofauti na wao..
Binadamu watu wa tofauti yaani ukiwa kinyume na mtazamo wa mtu mwingine basi ataanza kukutukana kukukashifu na kukudhihaki sijui wakoje...na laiti wangekuwa wananitambuwa au kunifahamu naamini wengi hata macho yao wangeyaficha sijui wapi
 
Sasa wakubwa matusi yote ya nini??Ukweli ni kwamba kachemka unitukane usinitukane ukweli utabaki hapo hapo tu...Siku zote lazima uthamini na kutombua michango ya mdau wa mtu mwingine siyo kila siku unakuwa negative tu...

Kwa taarifa yako nimekuwa nikisimamia uchaguzi wa Kigoma kuanzia uandikishaji wapiga kura hadi usimamizi wa vituo vya kupigia kura najua mchango wangu kwa chama niwapo Kigoma.
Wewe usiyeijua kigoma hata barabara endelea kukaa kwenye keyboard na matusi yako..
Ukweli ni kwamba angekubaliana na ushauri aliopewa na makamanda wa kigoma basi asingepungukiwa kitu chochote bali angesubiria muda muafaka wa kufanya ziara hiyo.
Hoja nazikaribisha na matusi nayakaribisha pia kwa kuwa hayatanipunguzia kitambi changu au Serengeti zangu..Ila kachemka period

Wanafanya fujo kumi na mia tano wanachana kadi za ccm, hapo mafao ya kwenda kigoma slaa huioni?
 
Ngoma inogile,Dr ni yule yule jana,leo na ata 2015
WebRep

line-dark-horizontal.png
Overall rating
line-dark-horizontal.png

line-dark-horizontal.png
 
Hiyo ni hoja dhaifu sana, yaani chama kisijengwe kisa mpuuzi mmoja ametofautiana na katiba ya chama kwa upuuzi wake. Dr. Slaa na viongozi wengine wa chadema waendelee kujenga chama nchi nzima!
hebu tufahamishe alipo tofautiana na katiba ya chama maana hata mwanasheria mkuu wenu ameshindwa kufahamisha watanzania. Au ni kile kipengele cha katiba ya cdm chumbani ?
 
Hapa hatuangalii wewe ni nani tunaangalia unatoa hoja gani !....Hata kama ungekuwa Kikwete, Pinda, Mbowe au Slaa utajibiwa kulingana na hoja zako na si vinginevyo !. Kwani wewe unajua sisi wengine ni nani ?

Wewe jibu hoja zinazoibuliwa ku-counter hoja zako na si kulalamika kijumla jumla....Ni kweli kuna watu wamekutukana, hao ulipaswa kuwaambia specifically au kama hutaki kuwaambia basi wa-ignore. Lakini si kuja hapa sababu watu baadhi wamekutukana basi, unakuja na kisingizio as if kila aliyekwenda kinyume na hoja yako amekutukana......Hapa unaonyesha udhaifu wa kushindwa ku-defend hoja yako, na badala yake unajificha kwenye excuses ambazo hazina uzito wowote !

Kuna watu wametoa hoja nzuri ku-counter hiyo hoja yako (bila kutoa matusi yeyote), sasa kwa nini usiwajibu hao kama unaona hoja yako ni ya msingi, na unataka watu wakuone kama wewe ni mtu fulani wa muhimu na mstaarabu ?

Mpaka muda huu nimetukanwa na kukashifiwa mno..sijui kwa nini watu hawapendi kukosolewa au kwa nini hawapendi watu kuwa tofauti na wao..
Binadamu watu wa tofauti yaani ukiwa kinyume na mtazamo wa mtu mwingine basi ataanza kukutukana kukukashifu na kukudhihaki sijui wakoje...na laiti wangekuwa wananitambuwa au kunifahamu naamini wengi hata macho yao wangeyaficha sijui wapi
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

aliyesababisha shida zote niyeye leo anaazakusingizia ccm. hivi huyu mzee tumueleweje?
 
jana Dr slaa kapigwa mawe kinoma ujapata habali?.

Kapigwa na nani? wale wahuni mliowatuma kuvuruga mkutano baada ya kuona watu wanajitokeza kwa wingi na mikutano ya dr inafana kinyume na propaganda zenu za wananchi kuisusia?
 
Hakika japo mie ni mfuasi wa hiki chama lakini sikubaliani na ziara ya Dr.Slaa mkoani kigoma mbali na maangalizo aliyopewa kuarisha ziara hiyo mkoani huko.
Ikumbukwe kuwa kupitia vyombo vya habari alisema mjadala wa Zitto na Kitila kuwa umefungwa sasa Kilichompeleka huko Kigoma nini kama siyo kuendeleza mjadala huo?
Hakika amechemka mno..huu ni mtazamo wangu ila ukweli amechemka hata kama wanaovuruga mikutano yake ni mamluki ila amechemka.

kabla yaku andika upuuzi ulio uandika fikiri ata kidogo.ona ulivo jiacha uchi.
 
Back
Top Bottom