Kwa hii zawadi tutamchagua tu Rais Magufuli

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
20200912_115815.jpg


Hii Ndio Tanzania ya Magufuli, Rais Magufuli anajenga Nchi, wagombea wengine wanajenga chuki

Kwa hii miundombinu sisi Watanzania kura zote kwako Rais Magufuli
 
Sio uchaguzi tu sema uchaguzi huru na haki uone kama anatoboa hata asilimia 2

Yaani NEC iwe chombo huru, maDED wawe huru, Polisi iwe huru uone kama anafika hata Kibaigwa
20200912_081929.jpg


Tatizo mnapenda kujifariji mtandaoni

Angalia wenzio wanasombwa kwenda kujaza
 
Ccm wanaenda kwa hiari yao, Chadema ukikataa kusombwa unapokonywa kadi ya chama
Mi sina chama mkuu.
Hao Chadema wanasombwa kwenda kwenye mkutano lakin naona hata CCM wanasomba watu kwahiyo wote mnafanana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom