Kwa hii tabia ya wanawake ku pretend b4 marriagge tufanyaje?

Ku-pretent iko pande zote mbili, ingawa uwiano hauko sawa. Nadhani kwa kina dada inazidi. Lakini kuhusu suala la shemeji yako nadhani acha kakao aishi na mkewe, yeye ndiye ahukumu ubaya wa mkewe. Nawe ukishaingia ktk ndoa utaona.
 
yaani mkuu hii ndio post ya kwanza ninayoisoma pasi hata kupitia comments za wachangiaji wengine naanza kuchangia.

kwanza kabisa umewakilisha lile kundi dogo sana la ndugu wa mume ambalo ni ile mizigo mitatu isiyobebeka nayo ni kiroba cha mavi ya binadamu, gunia la misumari ama debe lilitazwa mkaa wa moto.

jirekebishe
sio hivo dada mimi namtetea mleta mada..kweli wamama wengi hawana roho za ukarimu kabisa.... ujue ukienda kwa watu bana wale wanakuwa ndugu zako kabisa inatakiwa mashemeji uwapende ,uwaheshimu wakija wapige misosi hadi waseme..shemeji dont kill mi with u a food...kwani wanahamia...watu wanakuja kutoa hai tu mtu unanuuuuna..... chakula hupakui .juice zimejaa huwapi....why uchoyo...study ndoa nyingi wamama wamekuwa mwiba kwa ndugu wa mume...
 
Smile mdogo wangu wa moyoni, unachosema ni kweli kabisa hilo lipo. miye nimemjibu hivyo kwasababu moja ama mbili, ndoa ni private institution ya watu wawili ambayo haipaswi kuingiliwa na mtu yeyote yule kwa heri wala kwa shari.

ingekua kaja na hoja mke wangu ni mchoyo ningemshauri ila mke wa kaka yako lolest siwez kukushauri kabisa huyu ni mwiba kwenye hii ndoa.
 
Last edited by a moderator:

unavosema ndoa ni private institution ya watu wawili dadaaa ina maama watu wengine hawawahusu?
 
unavosema ndoa ni private institution ya watu wawili dadaaa ina maama watu wengine hawawahusu?

kabisa hawawahusu, nikiwa na maana kwamba wanandoa wanatakiwa kutafuta njia sahihi ya kuwasiliana na watu wengine ila maisha yao ya ndani waachiwe wao wenyewe.
 
sio hivo mkuu mimi ni mwanamke lakini asilimia kubwa ya wanawake waliiolewa hawana ukarimu kabisa.... shemeji akija hapewi hata maji ya kisima anywe ...uchoyo uchoyo ...lakini ndugu zake juice tena za maaple...upuuuzi mtupu...

Kuna ukweli kiasi fulani katika hili,ni kweli kila mwamba ngoma huvutia kwake ila sehemu kubwa ya wanawake hupitiliza katika ku favour upande wa ndugu zake!
 
ndoa sio private institution kama unavyofikiria ndugu yangu.....

yaani mkuu mimi niliifanya ndo yangu kuwa hivyo na leo nina 11 sijawah kujuta na kila siku nina amani, nisemapo private kwangu namaanisha hakuna mwenye uwezo wa kuingilia lolote ndoani mwangu awe mzazi ama ndugu ingaa nawajibika kuwalea na wazazi na ndugu.
 
kabisa hawawahusu, nikiwa na maana kwamba wanandoa wanatakiwa kutafuta njia sahihi ya kuwasiliana na watu wengine ila maisha yao ya ndani waachiwe wao wenyewe.
nadhani ndoa nzuri ni ile inayobalancisha life lenu wwawili vizuri na pia mahusiano na wanaowazunguka pia
 
yaani mkuu mimi niliifanya ndo yangu kuwa hivyo na leo nina 11 sijawah kujuta na kila siku nina amani, nisemapo private kwangu namaanisha hakuna mwenye uwezo wa kuingilia lolote ndoani mwangu awe mzazi ama ndugu ingaa nawajibika kuwalea na wazazi na ndugu.
dada habari za mchana huu?
 
Kuna ukweli kiasi fulani katika hili,ni kweli kila mwamba ngoma huvutia kwake ila sehemu kubwa ya wanawake hupitiliza katika ku favour upande wa ndugu zake!
sema na wanaume wengi ni mabwege sijui hivi mtu atakutenganishaje na hadi mama yako mzazi?
 
dada habari za mchana huu?

lol shostito msiri gani weye umenitenga kiasi hicho? miye mzima ma dearest ila njaa inaumaje sasa? yaan toka asubuh ya leo naumwa njaa na sioni kitu cha kula sijui ni kwanini.
 
sema na wanaume wengi ni mabwege sijui hivi mtu atakutenganishaje na hadi mama yako mzazi?
Smile mdogo wangu ngoja nikwambie, unaposema wanaume wengi ni mabwege miye nakubaliana kabisa na wewe lakin kuna kitu ambacho walioko ndoani wanakiexperience ambacho huwa hatukiongelei na hili hufunikwa na makosa ya baba kwenye familia. kuna mahali anialiauliza hivi wakati wa urafiki huwa watu mnaishije? hivi huwaga manaambiana mipaka yenu? nin mnachokitaka na nn msichokitaka?

hapa ndipo penye shida jamani, a woman can pretend for decades but chini ya upendo wa kweli hakuna pretendence hata kaidogo. mwanamke wa kumtenga mama mkwe ni dhahiri huyu hata wakati wa maandaliz ya harusi ulimuona manake hapa lazima angeeka vipingamizi hata kwenye bei ya nguo ambazo ungemnunulia mama. hivi huwa mnaunderestimate haya eeh!

naomba tu nisiseme mapungufu ya wanawake hapa manake nitapigwa mawe ingawa ni ukweli kabisa. lkn pia ndugu wa mume msiwazonge wenye ndoa zao jamani kha!
 
Last edited by a moderator:
yap unaweza kugundua tabia ya mtu ukimchunguza kwa makini kama ana act ni rahisi kugundua, tabia za kupretend zipo hata kwa wanaume wangu
 
smile mdogo wangu ngoja nikwambie, unaposema wanaume wengi ni mabwege miye nakubaliana kabisa na wewe lakin kuna kitu ambacho walioko ndoani wanakiexperience ambacho huwa hatukiongelei na hili hufunikwa na makosa ya baba kwenye familia. Kuna mahali anialiauliza hivi wakati wa urafiki huwa watu mnaishije? Hivi huwaga manaambiana mipaka yenu? Nin mnachokitaka na nn msichokitaka?

Hapa ndipo penye shida jamani, a woman can pretend for decades but chini ya upendo wa kweli hakuna pretendence hata kaidogo. Mwanamke wa kumtenga mama mkwe ni dhahiri huyu hata wakati wa maandaliz ya harusi ulimuona manake hapa lazima angeeka vipingamizi hata kwenye bei ya nguo ambazo ungemnunulia mama. Hivi huwa mnaunderestimate haya eeh!

Naomba tu nisiseme mapungufu ya wanawake hapa manake nitapigwa mawe ingawa ni ukweli kabisa. Lkn pia ndugu wa mume msiwazonge wenye ndoa zao jamani kha!
kweli dada kuna harusi unaenda mama wa bibi harusi kapendeza balaa wa bwanaharusi kituko unashindwa kuelewa ilikuaje
 
kweli dada kuna harusi unaenda mama wa bibi harusi kapendeza balaa wa bwanaharusi kituko unashindwa kuelewa ilikuaje

wala usijiulize ilikuwaje Smile ni kwamba bi arusi hakuwapa priority wazazi wa mumewe alijijali yeye tu tena wengne unakuta hata hizo nguo za wzazi wake hela kapewa na bwana harusi. wewe achana na akili ya mwanamke bana
 
Last edited by a moderator:
hakuna kitu kama tu-pretend!tabia ya mtu ipo wazi siku zote..cha kufanya ni kufumbua macho tu vizuri.it is always written in plain writing but we are blinded, we see what we want to see and not the hard facts.
if you listen to the inner you-you wont be fooled!
 
Back
Top Bottom