Kwa hii Simba ya hawa wachezaji, Yanga tusiposhinda Natembea Bila Nguo Kabisa. Babu amehakikisha

Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup.

Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua tunashinda hili Kombe. Nimewaona wachezaji wa Simba. Wameshachoka tayari kabla ya game.

Tusiposhinda hii game leo mimi nitatembea bila nguo.
Yanga niachie my wangu nasema niachie simba wangu..... Mwanasimba mmoja anaimba hii ngoma pembeni yangu.
 
Wanashangilia kombe la mbuzi huko barabarani kelele tupu sijui wamelogwa na nani.
 
Back
Top Bottom