Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Hii serikali ya ccm haina mpango wa kuwakwamua watu masikini. Ukiwa masikini unakua masikini milele.
Nimeangalia uchaguzi wa wanafunzi kwenda vyuo na kidato cha sita nikaona kweli hii serikali haina nia ya kuwakwamua watu masikini kwa namna yoyote.
Mtoto wa masikini anasoma shule za kata, elimu bure anaishia kupata daraja la nne au la tatu, wachache wanaojitahidi wanapata daraja la pili na la kwanza, badala ya hao wachache waliofanya vizuri kutoka kwenye mazingira magumu wawezeshwe kupelekwa shule angalau nzuri za serikali(zinaitwa eti specual school) bado ndio wanaochaguliwa shule choka mbaya za kidato cha tano na sita.
Wale watoto wa matajiri wanaosoma shule ada milioni 8, wanaopata daraja la kwanza na la pili wengi, bado hao hao ndio wanaopelekwa shule nzuri za serikali zinazoitwa special school, unabaki unajiuliza hii ni akili au bangi?f@ck. Yaani aliekomaa mwenyewe kwa mazingira magumu badala apewe moyo ndio anazidi kudidimizwa, waliowezeshwa toka mwanzo ndio wanaendelea kuwezeshwa siku zote.
Kwa hii serikali alienacho ataendelea kupewa na asienacho atanyang'anywa hata kidogo alichonacho. Maana wengi huishia kupata daraja la pili au la tatu na kuishia kusoma ualimu na fani nyingine za ajabu ajabu huku wale waliopelekwa zinazoutwa special school wakiendelea kuwezeshwa na bado watafanya vizuri watapata mikopo vyuoni maana wao ndio watakaofaulu vizuri masomo ambayo serikali imeyapa kipaumbele.
Unajiuliza, ni kigezo gani kinatumika kumchukua mtoto wa feza boys kumpeleka kibaha sekondari, unamuacha mtoto aliepata daraja la kwanza nyampulukano sekondari ambae unampeleka makamba sekondari akapate sifuri.
Trump alikua sahihi, these are shthole countries