Kwa hii serikaki ya CCM, mtoto wa masikini ataendelea kua masikini milele.

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,628
2,000
Hii serikali ya ccm haina mpango wa kuwakwamua watu masikini. Ukiwa masikini unakua masikini milele.

Nimeangalia uchaguzi wa wanafunzi kwenda vyuo na kidato cha sita nikaona kweli hii serikali haina nia ya kuwakwamua watu masikini kwa namna yoyote.

Mtoto wa masikini anasoma shule za kata, elimu bure anaishia kupata daraja la nne au la tatu, wachache wanaojitahidi wanapata daraja la pili na la kwanza, badala ya hao wachache waliofanya vizuri kutoka kwenye mazingira magumu wawezeshwe kupelekwa shule angalau nzuri za serikali(zinaitwa eti specual school) bado ndio wanaochaguliwa shule choka mbaya za kidato cha tano na sita.

Wale watoto wa matajiri wanaosoma shule ada milioni 8, wanaopata daraja la kwanza na la pili wengi, bado hao hao ndio wanaopelekwa shule nzuri za serikali zinazoitwa special school, unabaki unajiuliza hii ni akili au bangi?f@ck. Yaani aliekomaa mwenyewe kwa mazingira magumu badala apewe moyo ndio anazidi kudidimizwa, waliowezeshwa toka mwanzo ndio wanaendelea kuwezeshwa siku zote.

Kwa hii serikali alienacho ataendelea kupewa na asienacho atanyang'anywa hata kidogo alichonacho. Maana wengi huishia kupata daraja la pili au la tatu na kuishia kusoma ualimu na fani nyingine za ajabu ajabu huku wale waliopelekwa zinazoutwa special school wakiendelea kuwezeshwa na bado watafanya vizuri watapata mikopo vyuoni maana wao ndio watakaofaulu vizuri masomo ambayo serikali imeyapa kipaumbele.

Unajiuliza, ni kigezo gani kinatumika kumchukua mtoto wa feza boys kumpeleka kibaha sekondari, unamuacha mtoto aliepata daraja la kwanza nyampulukano sekondari ambae unampeleka makamba sekondari akapate sifuri.

Trump alikua sahihi, these are shthole countries
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,637

Kuwa masikini sifa kubwa kwa CCM kukutawala, serikali ya masikini na wanyonge, na wananchi wanafurahi kuitwa hivyo.
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,263
2,000
Kweli mkuu unakuta Kuna mtu ana pointi tatu kwenye combi ( PCM) kutoka feza anapelekwa kibaha na Kuna mwingine ana one na point5 kwenye comb (PCM) kutoka Salma kikwete sec. Anapelekwa kibiti high school.... Maskini ataendelea kuwa maskini tu kihivi
 
Ni mambo ya kipumbavu sana.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,385
2,000
Hilo sio jambo jipya, imekuwa hivyo muda mrefu,kupata fursa bora za elimu na kazi kwa watoto wa maskini Tz unahitaji kukaza haswa.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,591
2,000
Hii serikali ya ccm haina mpango wa kuwakwamua watu masikini. Ukiwa masikini unakua masikini milele.

Nimeangalia uchaguzi wa wanafunzi kwenda vyuo na kidato cha sita nikaona kweli hii serikali haina nia ya kuwakwamua watu masikini kwa namna yoyote.

Mtoto wa masikini anasoma shule za kata, elimu bure anaishia kupata daraja la nne au la tatu, wachache wanaojitahidi wanapata daraja la pili na la kwanza, badala ya hao wachache waliofanya vizuri kutoka kwenye mazingira magumu wawezeshwe kupelekwa shule angalau nzuri za serikali(zinaitwa eti specual school) bado ndio wanaochaguliwa shule choka mbaya za kidato cha tano na sita.

Wale watoto wa matajiri wanaosoma shule ada milioni 8, wanaopata daraja la kwanza na la pili wengi, bado hao hao ndio wanaopelekwa shule nzuri za serikali zinazoitwa special school, unabaki unajiuliza hii ni akili au bangi?f@ck. Yaani aliekomaa mwenyewe kwa mazingira magumu badala apewe moyo ndio anazidi kudidimizwa, waliowezeshwa toka mwanzo ndio wanaendelea kuwezeshwa siku zote.

Kwa hii serikali alienacho ataendelea kupewa na asienacho atanyang'anywa hata kidogo alichonacho. Maana wengi huishia kupata daraja la pili au la tatu na kuishia kusoma ualimu na fani nyingine za ajabu ajabu huku wale waliopelekwa zinazoutwa special school wakiendelea kuwezeshwa na bado watafanya vizuri watapata mikopo vyuoni maana wao ndio watakaofaulu vizuri masomo ambayo serikali imeyapa kipaumbele.

Unajiuliza, ni kigezo gani kinatumika kumchukua mtoto wa feza boys kumpeleka kibaha sekondari, unamuacha mtoto aliepata daraja la kwanza nyampulukano sekondari ambae unampeleka makamba sekondari akapate sifuri.

Trump alikua sahihi, these are shthole countries
Necta wanaangalia ufaulu au utajiri wa mwanafunzi?
Nimeona kuna wanafunzi kutoka Feza wamepangiwa kwenda kuchukua diploma/ stashahada vyuoni na nilibaki kushangaa. Sina uhakika safari hii kama huu upangaji/uchaguzi umefanywa na watu au kuna program ya kompyuta ilifanya hilo zoezi, na sijajua vigezo vya kuwapangia ni vipi, ukiachia mbali ufaulu, maana inalalamikiwa kuwa sio uchaguzi wa wahusika.
 
Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,628
2,000
Necta wanaangalia ufaulu au utajiri wa mwanafunzi?
Nimeona kuna wanafunzi kutoka Feza wamepangiwa kwenda kuchukua diploma/ stashahada vyuoni na nilibaki kushangaa. Sina uhakika safari hii kama huu upangaji/uchaguzi umefanywa na watu au kuna program ya kompyuta ilifanya hilo zoezi, na sijajua vigezo vya kuwapangia ni vipi, ukiachia mbali ufaulu, maana inalalamikiwa kuwa sio uchaguzi wa wahusika.
Kama hujaelewa mantiki hii basi nina mashaka na uelewa wa kichwa chako.
 
Malimi Jr

JF-Expert Member
May 28, 2017
949
1,000
Nyampu....sengerema moja hiyo...tulikuwaga tunawaona washamba tukikutana kwenye mikutano ya ukwata
Hahahahaaaa kuna kipindi nilikuwaga na shauku kuhama kutoka kamhanga sec kwenda sengerema sec masharti niliyopewa eti lazima nianzie nyampulukano. Hapo hapo nilipiga chini mambo ya uhamisho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom