Kwa hii ngoma ya 'Jibebe' WCB wameleta Mshindani wa 'Kwangwaru'

Wamebaki kuimba mitusi tu!
Get well soon Bobi Wine!


Sent using Jamii Forums mobile app
HATER WEWE SHAME ON YOU. na kuimbwa matusi bado imeingia category xa tuzo kibao Kama vile:
✓wimbo Bora wa mwaka.
✓collaboration Bora ya mwaka.
✓msanii Bora wa east Africa kupitia#kwangwaru.
Nabaso unaongoza you tube viewers 24kw miezi mitatu,na chart za juuu nchi mbalimbali.
So,nitajie wimbo ambao aujaimbwa matusi ambao umevunja hii record afu NAKUPA LAKI TANO HAPA HAPA.
 
fact...

copy mvumo wa radi...

ila maunderground kibao wana vitu vikali ila wanakosa airtime...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom