Kwa hii misukosuko anayopitia CAG, haishangazi wabunge wasio jasiri wa Upinzani kuhama vyama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Najaribu kutafakari tu maneno ya Yesu Kristo aliposema....." ikiwa wanayatenda haya kwa mti mbichi itakuwaje kwa ule mkavu?"

Kiukweli kwa mti mkavu bila kukimbia unaweza ukaungua kabisa.

Niendelee kuwatakia Juma Takatifu lenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Duh!, mkuu kumbe huwa una akili!
 
Najaribu kutafakari tu maneno ya Yesu Kristo aliposema....." ikiwa wanayatenda haya kwa mti mbichi itakuwaje kwa ule mkavu?"

Kiukweli kwa mti mkavu bila kukimbia unaweza ukaungua kabisa.

Niendelee kuwatakia Juma Takatifu lenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
Prof Assad ndie msomi nguli kwa sasa hapa bongo,aendelee kuwajambisha mishuzi mwanasiasa kama Ndugai ambao wanajiona wana haki ya kuzaliwa ya kufuja pesa yetu.
Hivi unaitishaje uchaguzi kwenye jimbo mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu!!Mbunge Tundu lieu,ayupo bungeni,mwaka mmoja sasa!,wananchi wa jimbo lake wanapata hasara gani na hawa wananchi wa Arumelu watapata faida gani mkiwapa mbunge Leo.?
Nchi inaweza kuendelea bila bunge,ila haiwezi kuendelea bila waalimu,madakitari,wahandisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijumba yote waliyojiuzia au waliyojigawia si lazima CAG atupe data za huo wizi au wanastuka watu watajua ukweli??
Je CAG hana haki ya kutujuza uhalali migao ya nyumba za serikali??
 
Umeshajiuliza ununuzi wa Korosho umetumia Sh ngapi? Je umejiuliza hasara itakayopatikana Ni ya Nani?

Umeshajiuliza fedha ziliidhinishwa na Nani? Na taasisi gani imepewa hizo fedha. Subiri CAG akague
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom