Kwa hii 'free fall' CUF bado itakuwapo huku bara mwaka 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hii 'free fall' CUF bado itakuwapo huku bara mwaka 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Mar 23, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  WanaJF Nauliza swali hili- naona ni lamsingi. Hivi ifikapo mwaka 2015 CUF itakuwepo tena huku Bara? Nasema hivi kwa takwimu. Mporomoko wa kura walizopata 2005 na kulinganisha za 2010 unaonyesha chama hicho kiko katika kile kinachoitwa 'free fall.'

  Na jiunsi kinavyofanya kampeni zake sasa hivi hii 'free fall' bila shaka itazidi ku-accelerate. I feel very sorry for the once formidable party. I voted for it in year 2000.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  upumbavu wao wa kugeuza ukweli kuwa uwongo unawamaliza. Nilimsikia Hamad Rashid na sharubu zake anatoa ushuzi jana maeneo ya Tanga, ati kuna vyama vinachochea vurugu. Upuuzi mtupu. Vyama gani hasemi. Anabaki kulalama tu jukwaani. CUF si riziki tena. Lazima wajue hilo. Watanzaia wa leo tunajua mbivu na mbichi.

  Hivyo vyama anavyosema vinachochea vurugu, sisi wazalendo na wapenda magueuzi tunajua vinachochea hamasa ya Watanzania kujitambua na kuzijua haki na wajibu wao.

  Mbunge wa jimbo la Mchambawima Bwana Hamad Rashid wala asipoteze muda na sisi. We know what we are doing.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  The free fall is unsztoppable because of these two people -- Prof and HRM -- unless the duo are got rid of fast.
   
 4. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bara,cuf sorry!! Pemba sawa. Kwa mtaji huo wajiandae kushinda uchaguzi 2015
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Atabaki Mtatiro kama hataenda kwa babu kutibu ukichaa alio nao
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,498
  Likes Received: 2,597
  Trophy Points: 280
  Kama ni garimoshi twaweza sema kimebakia kichwa tu..mabehewa yameishakatika ...hii ndo C.U.F bara.,Tumshauri Mtatiro aende akakitumikie chama huko Znz
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0


  Umemtaja Mtatiro -- well sijaona kijana msomo aliyepotea njia kama huyo. Alitaka kujipima nguvu na mkakamavu Mnyika akaanguka kwa aibu. Ukweli ni kwamba hajui kupima mambo. Angeingia CDM na kwenda kugombea jimbo la Kinondoni, angembwaga yule Idi Azzan kiulaini kabisa.

  Bila sasa anaona aibu kubadili chama -- nadhani ataishia NCCR -- nyie mtaona tu.
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yaani huyo Profesa wao wa pumba hajioni kwamba sasa hivi amekuwa senema ya bure. Nilitokwa machozi jana katika TV kuona mkutano wake huko Tanga una watu wachache -- tofauti kabisa na ilivyokuwa 2000 na 2005. Huyu anatoweka kwa kasi ya ajabu kabisa!!!!
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Just for curiosity -- kipi kitaanza kutoweka -- CCM au CUF? Mie nadhani CUF kwanza kwani CCM kwa kuwa ina dola italeta shida sana kupotea kwake.
   
 10. m

  marmoboy Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leo cuf walikuwa tmk eneo ka viwanja vya zakiem na nilienda kuwasikiliza ili nijihakikishie ni namna gani wanawachonge cdm, wasemaji wakuu walikuwa watano,kiongozi wa vijana wao,katibu wa wabunge wa cuf magdalena sakaya,mbunge wa wawi hamad rashid,julius mtatiro na lipumba, nilipofuatilia hoja zao nikaona zina mashiko sana na nadhani maeneo watakayopita itabidi cdm warudi tena,wanachosema kinagusa mtu yeyote mwenye akili timamu, ni kweli kuwa wanajibu hoja za cdm lakini hiyo ni moja ya kumi ya kazi yote kwani muda wa zaidi ya asilimia 90 wanautumia kuisema ccm,kutangaza sera zao n.k. Mimi bado nakuwa na mtizamo tofauti katika hili kwani wanajibu hoja kwa kielelezo,wanatoa mifano mingi
  na mmojawapo ni ule wa cdm kukubali kuongoza halmashauri pamoja na ccm bila ridhaa ya wananchi, mfano mwingine ni namna gani cdm wanapokea fedha kutoka kwa makada wa ccm,
  tatu ni namna gani cdm walivyoenda znz kuhamasisha waznz wapige kura za maoni za ndiyo ili pawepo na gnu na hapa wanawataja wahusika wakuu kuwa ni naibu wa cdm znz na antony komu wakiwa chini ya usimamizi wa mbowe mkt wa tcd mwaka jana, ukiwasikiliza wana hoja za msingi sana na watu wasidhanie kuwa ni jambo dogo,
  nadhani cdm watakuwa na kazi ya kujibu hoja hizi, najua humu jamvini wengi wetu ni cdm lakini lazima niwaambie nili-choobserve.
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mimi nakubaliana kabisa na mtoa mada kwamba ifikapo 2015 CUF itakuwa imefukiwa kaburini. Kwa muda wa miaka 18 iliyopita na chaguzi nne, chama hicho hakikuweza kupata viti zaidi ya vitano vya ubunge katika uchaguzi huku bara pamoja na lukuki wa wafuasi. Chadema haina wafuasi Zenj kwa hiyo kutopata viti ni sahihi.

  Tatizo hapo ni kwamba ni profesa huyohuyo anayegombea uchaguzi kila uchaguzi -- wafuasi wamemchoka kabisaa -- hauziki kabisa hasa uchaguzi wa mwaka jana pale maelfu ya wafuasi wa CUF walijiunga Chadema. Hili nina hakika nalo kwani wafuasi hao hawakwenda CCM kwani kura za CCM nazo ziliporomoka pia.

  Mie nadhani sasa hivi kwa aibu itakayowapata 2015 ni bora CUF ijivunje na ikajiunga moja kwa moja na CCM. Bora lawama kuliko aibu!
   
Loading...