Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.

Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.

Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.

WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
 
Naona wafuasi wa WCB mpo kazini
Tuache masikhara konde katisha kwenye ngoma ngoma kaliii sana...100k in 44mins sio mchezo kavunja hadi record ya boss wenu
Sasa Kama mtu unaweka wait masaa 2 unategemea Nini... Kama anajiamini angetoa tu from no where sio waiting za kijinga
 
Back
Top Bottom