Kwa hi JK hajanikuna kabisaaa......

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Wakuu kwa kitendo cha jeykey kumchagua Dr. Shukuru Kawambwa kuwa waziri wa elimu naona hakikuzingatia uwezo wa huyu jamaa. Kama kwenye wizara aliyokuwa nayo kipindi kilichopita tulishudia kuyumba kwa utendajikazi wake kama ile barabara ya Chalinze-segera-tanga, TRL na swala nyeti la TICTS je, kwenye elimu si itakuwa balaa. I think this man hakustahili wizara hii kwa unyeti wake kwetu.(i stand to be corrected) nawasilisha.
 
hii wizala ni ngumu kuliko inavyofikilika ukizingatia ndo UKOMBOZI pekee uliobaki kwa mtanzania.
 
Dr Shukuru lazima ambebe Mkwere mwenzie lakini ajue ni Mzigo usiobebeka. Arudi tu UDSM akapige chaki kwani ni Academician mzuri tu huko ndiko mahali pake.
 
Si angempeleka ata wizara ya uwezeshaji au katiba jamani maeneo sesnsitive haya wanaweka vimeo
 
kujuana tu....acha ccm imfie mikononi mwake kwa kuweka marafiki zake na ambao hawana uwezo...........this is kikwete whom you didnt know in deep........
 
Hapana tusconclude mapema wana JF. Give this Shukuru PhD time to deliver. Tukipata MaUniversity ya kata -Bravo si ndio maendeleo jamani?
 
Hapana tusconclude mapema wana JF. Give this Shukuru PhD time to deliver. Tukipata MaUniversity ya kata -Bravo si ndio maendeleo jamani?

mi naona kwa unyeti wa hii wizara kazi ipo!
 
Kichwa cha hii thread kinanikwaza! Mtoa Mada anataka KUKUNWA na Kikwete? ama anaimanisha nini....!
 
Wizara ya elimu ni moja ya wizara ngumu sana,sasa sijajua jk ametumia vigezo gani kwa dr.kawambwa
 
Back
Top Bottom