Kwa heshima zenu wakuu, tuji......(?????????)

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
99
Kwa nini tunalala?
1. Kwa kuwa ni usiku?
2. Kwa kuwa tumechoka/tunausingizi?
3. Kwa kuwa wengine wanalala pia?
4. Kwa kuwa wenzi wetu/familia wanatutaka/kutufanya tulale?
5. Kwa kuwa hatupendi kutembea usiku?
6. Kwa kuwa tuna vitanda? (tunavitumia kihalali)
7. Kwa kuwa usiku kuna baridi kuliko mchana?
8. Kwa kuwa mchana ulifanya kazi?

Jamani great thinkers tujiulize kiundani tunalala kwa sababu gani?
Wewe uliesoma huwa unalala kwa sababu gani! Tueleze!
S.H
 
Sina hakika kama unataka tuchague kati ya sababu hizo hapo, ila hii nimeipata mahali:

1] Njia muafaka ya ku-recharge ubongo
2] Usingizi unaupa ubongo nafasi ya kufanya oganaizesheni ya 'data' na pia kutafuta suluhisho za matatizo au taarifa mpya uliojifunza
3] Cardiovascular system (mfumo wa msukumo wa damu) unapata nafasi ya kupumzika baada ya kukuru-kakara za siku nzima
4] Kwa watoto na matineja, homoni za ukuaji (growth hormones) hutolewa wakati wamelala
5] Tunapolala tunapunguza matumizi ya 'energy' na pia usingizi una-lower metabolic rate
6] Pia tunalala kwa sababu tuna usingizi (involuntary)

Ni muhimu kukumbuka kuwa usingizi ni muhimu sana kwa afya na ukosefu wa usingizi wa kutosha unaweza kupelekea kuugua na matatizo mengine ya kisaikolojia.

--> Why We Need to Sleep
--> Why sleeping is Important for you
 
Staki kutoa majibu ya kitaalam sana katika hili. Ukitaka kujua umuhimu wa usingizi, kaa 5days bila kulala na jizuie usisinzie. Majibu utayajua papo kwa hapo.
 
Back
Top Bottom