Kwa heshima na taadhima huyu ndio shemeji yenu!

Inasikitisha sna wanaume mkipata mafanikio kidogo bas na wake mnabadilisha:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Wanaendana bana cheki picha hii, kwa karibu kumbe ana sura ya kiutu uzima. Sema hakajiamini hakajazoea kamera bado...Michuzi una wife bombaa.

Namuona Musupu kaweka plastic smile ready for a shoot. Mkeo mzuri misupu hata bila minywele ya bandia kawafunika woote hapo.
 
Kaka kwa kufuata watoto wadogo umri sawa na binti zako sikuwezi, angalizo miaka kumi ijayo mafataki sijui utawadhibiti vp wakati wewe utakapokuwa machweo ilihari shem anahitaji kwenda viwanja?. Merry x-mas kaka. Harafu kashem kanaaibu hako.
 
umri wenu mbona kwa macho tu unaonekana kuna tofauti kubwa sana kama 64% na 27% vile!
anyway hii ni kutafuta kusaidiwa hapo baadae.....
 
mmmhhh, namfowadia waziri wa elimu na kova wakukamate, huwezi kutuharibia vidogo vyetu namna hii, siku ile alipoondoka home alikua amevaa kinguo icho icho na akasema anaenda tution, sasa ndo tuition yenyewe hiyo jamani? Tena alirudi amechoka kweli na hakutaka kuongea na mtu, sijui ulikapa mvinyo!!

kumbe hicho kibegi kina vitabu vya shule!amekamatwa!
 
Wanaendana bana cheki picha hii, kwa karibu kumbe ana sura ya kiutu uzima. Sema hakajiamini hakajazoea kamera bado...Michuzi una wife bombaa.

km vp amalizane na madam lita! Bila shaka yuko single...aachane na huyo mwanafunzi wa secondary!
 
Wanaendana bana cheki picha hii, kwa karibu kumbe ana sura ya kiutu uzima. Sema hakajiamini hakajazoea kamera bado...Michuzi una wife bombaa.

Huyo wa katikati ktk mademu ni 'MPOKI' pededje wa kuchonga wa Origina Komedi?
 
DSC00028.jpg

she is cute kwa kweli,and mwamvita hair do imekupendeza mamiii....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom