Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,111
- 9,562
Jimbo la Igunga lina vijiji vipatavyo 98, kata 26 na tarafa 3 Nimejaribu kupitia mitandao kujua idadi ya wapiga kura Jimbo la Igunga, mwaka 2005 waliopiga kura ni zaidi 75,000 ambapo ni wastani wa wapiga kura 765 kila kijiji na 2800 hivi kwa kila kata au 25,000 kwa kila tarafa
mwaka 2010 idadi ya wapiga kura karibu 47,000 ambopo ni sawa wa wastani wa wapiga kura 479 kwa kila kijiji ambapo kwa kila kata ni 1807 na kitarafa ni wastani wa 1566 hivi.
Kwa takwimu hizo chama chochote kikicheza kara vizuri na kupata kwa uchache wa wapigipa kura 400 kwa kila kijiji kwa kuangalia idadi ya wapiga kura 75,000 waliojitokeza 2005 watajihakilishia ushindi wa zaidi ya %50.
Tukichukulia takwimu za 2010 ya wapiga kura 47000 wanahitaji wastani wa wapigakura 240 kila kijiji kujìhakikishia ushhndi wa % 50.
CDM wakiweza kulinda mtaji wa kura alizopata Dr Slaa 8800 watahitaji wapiga kura 150 wapya toka katika vijiji 98 kujihakikishia ushindi wa % 50.
Nawakilisha.