Nimekuwa senior expert member wa jf kwa miaka mitatu. Hata ivo sina budi nkuwaaga kwa sababu zifuatazo
mnamo wiki mbili zilizopita niliweka bandio hapa kuhusu ahadi za jk kufikia trilioni 90, nilikuwa nimefanya utafiti wa kina kwa muda wa wiki3, niliweka bandiko kwa kuwa nilitegemea kupata mawzo yenu jf the great thinkers, hata hivo bandiki langu lilipotea baada ya posts kama tatu hivi, cha kushangaza ni kuwa kesho yake bandiko lile lilitokea gazeti laq mtanzania daima.
Jana nimeweka bandiko lingine kuhusu jinsi watanznia wanavyojadili kuhusu jinsia ya ana makinda badala ya mustakabali wa taifa letu nayo imepotea.
Leo nikaandika rasmi kulalamika kwa mods, na thread yenyewe imepotea tena haionekani.
Tafadhali mods naomba aidha uifungie au unipe maelekezo kuhusu makosa yangu, aidha kama hali ni hii ni kuwa hapa jf kuna mafioso au mafiadi walikubuhu na kama hali ni hii sina ujanja bali kuwaaga. Bado mimi ni mkweli kwa taifa langu, naomba mwanakijiji na wengine minisaidie
mwikimbi
mbeya
leo